Miaka 7 nje ya Afrika si haba

Wewe ni chootu tena chakike
Chizi akikimbia na nguo zako ili na ww usionekane chizi inabidi uachane nae kulinda heshima yako. Kwahiyo kwa upupu huu ulipoandika naamua niachane na ww ili kulinda heshima yang
 
Tz bado ina watu wanaishi, karibu ukitaka kukumbukia maisha.
 
Kweli namuuanga mkono Mh Trump. Comments zake nyengine naziamini. Hebu fikiri, huyu naye anajiona yuko juuuu sana. Ulimbukeni ni mmbaya sana.
Kwenu ni kuzuri tu hata ukae miaka ngapi nje, lazima utamani kurudi kwenyu tu. Tuseme huna mawasiliano hata kidogo na kwenu?? Mtu akikutana na weye sasa nadhani kiswahili utaona aibu kabisa kukisema.
Miaka saba unajiona umekaaa kabisa ukasahau kwenu. Ngoja ije siku urudi hapa kama utatamani kwenda nje. I have never seen such a beautiful country like Tanzania. Nenda uendako. Huwezi fananisha nchi yeyote na Tz.
 
My "soldier boy" hapo chini ananiombea msamaha baba yake kwa wale wote waliokwazika na watakaoendelea kukwazika kupitia thread hii. Lengo halikuwa kutukana au kukwaza watu bali kuelezea hisia zang mwenyew. Polen sana ndug zng ambao mmekwazika na asanten san ndug zng ambao hamkukwazika. Tuendelee kuvumiliana kwa kukosoana kistarabu kbs kama alivyofanya kaka yang Kiranga na wengin hapo juu
 
Chizi akikimbia na nguo zako ili na ww usionekane chizi inabidi uachane nae kulinda heshima yako. Kwahiyo kwa upupu huu ulipoandika naamua niachane na ww ili kulinda heshima yang
Jinga sana wewe heshima unaweza kuitukana nji yako au nawe ushakuwa bwabwa!
 
Kweli kabisa nyumbani ni nyumbani ugenini ni ugeninitu
 
Una shithole brain kwendraa ushamba tu wa maisha ndugu yangu, kazi anayoifanya alieopo newyork nami naweza kuifanya nikiwa hapa kwa mtogole
, sijajua bado ni kipi kinachokuzuzua uko ulipo !? Unalipwa 100$ kwa siku vipi matumiz yako ni 5usd kwa siku!?

Ni kwamba tu ukija nyumbani ndo utaziona hela zako nyingi si uko uliko

Usirudi ila wawekezee wanao nyumbani huku
 
Nnachofurahi ni kua waswahili tunapenda kulazimisha mtu mwingine atamke kile tunachotaka sisi!
 
Unajipongeza kuingia kwenye raha mstarehe na kuondokana na matatizo ya "shithole" barani Afrika. Nina uhakika unakumbuka sana nyumbani pamoja na kwamba unatusema sisi tunaishi kwenye "shithole". Ni nini kinachokufanya ukumbuke "shithole" wakati uko kwenye raha mstarehe mbali na "shithole"? Sema kinachokuwasha kwenye dhamira yako. Tunakutakia heri na baraka zote kwenye miraha mingi huko ughaibuni lakini utuache sisi na matatizo yetu hapa "shithole".
 
Sawa kabisa unayosema. Mimi mwezi Agosti mwaka huu nitatimiza miaka 33 tangu niondoke TZ na kuanza kuishi nje ya nchi lakini nyumbani ni nyumbani tu na wala sithubutu kamwe kupaita "shithole". Huyu jamaa amefikisha tumiaka saba tu na anajisifia kwamba ameondokana na matatizo ya "shithole". Nina uhakika rohoni anakumbuka sana nyumbani lakini kwa kiherehere tu anataka tuamini yuko kwenye maraha na anatupa pole sisi tunaothamini nyumbani kwetu.
 
Nnachofurahi ni kua waswahili tunapenda kulazimisha mtu mwingine atamke kile tunachotaka sisi!
Kweli kbs ndug yng, wengi hawaelewi 7bu ya nilichoandika wala nchi niliyoizungumzia. Ila mimi nawaelewa ni kwann wamekuwa wakali kiasi hiki
 
Mkuu wa2 tunatoka ktk nchi zetu kwa 7bu tofauti ndio maana wapo wanaorudi na tusiotaka kurudi
 
Kweli nakumbuka lkn 7bu iliyonitoa nchini ndio inayonifanya niite hilo jina. Kuna wananchi na nchi, so hapa nimezungumzia nchi na sio wananchi kam vile baadhi ya ndug zangu humu walivyofikiri
 
Asante kwa ushaur bingwa wng japo ulianza kwa ukali hapo juu
 
nakusikitikia sana maana umekosa hata nauli ya kurudi kwenu.
Dah ww kweli unaweza kumchekesha maiti. Hivi nimewezaje kupata nauli ya kunitoa Afrika hadi Ulaya afu nikose nauli ya kunitoa Ulaya kurudi Afrika. It doesn't make sense bingwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…