Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,053
- 15,515
Mkuu kama hujapitia Nokia za symbian 60 umemiss kitu kikubwa sana. Ni kama umeruka stage katika ukuaji. Mfano wa symbian 60 ni Nokia E series.Samsung Sim yangu ya kwanza ya smartphone baada ya kutesa na Nokia usher
Battery zake madukani unapataMm nina s2 yangu ipo kabatini tu mpk betri imeisha natamani sana nifanye update ifikie huko mkuu
Siku akijua tumia simu zitakuwa zishafika S15Najua ni urithi wa mwanao
Kidding
Kesho ntaenda kkoo nitapata tuBattery zake madukani unapata
Mkuu, raia wanataka Cim zao ziwe PC. Wanataka wa install hadi Auto CAD waanze kufanya architecture.
Hilo soko la india linaitwaje mkuukama alivyokujibu jamaa hapo juu siuzi simu mimi, ni ushauri tu. na bei yake huko nje ni kama 175,000 hivi kwa India. then tafuta mtu wa kukuagizishia alilete huku.
mtu akisema soko la india ni kama anasema soko la Tanzania ndani yake kuna jumia, kupatana, zoomTanzania etc.Hilo soko la india linaitwaje mkuu
zipo nyingi tu kamaukipewa task kubwa itashindwa, ukipewa task gani kwa mfano, kuchora ramani ya nyumba?
na hiyo task kubwa utapewa na nani, mwalimu?
hahahahahaaaa....
Binafsi hata camera ya MP 8 yatosha, labda ram tuMkuu utapataje very latest updates while hardware ni zile zile.
Hongera..kama simu ni wasap Na istaBrand nyingi zinazotumia mfumo endeshi wa Android hazina tofauti sana, zaidi ya mabadiliko (updates) kwenye hardware, mimi natumia Samsung Galaxy S2 ni toleo la 2011 miaka 7 nyuma, lakini nimeweza kui-root n natumia Lineages OS 7.1.2 Nougat.
Ina 1Gb RAM, storage ni 16gb na Processor ni 1.2Ghz dual processor, na update ya Oreo(8) ikiwa tayari nita-update pia.
Ukweli specification zake haziko tofauti sana na simu nyingi zinazotoka wakati huu, kwangu bado ni simu bora inayotumia mfumo wa Android.
Kwa hiyo huwa sioni cha ajabu sana, labda kwenye simu zenye Os tofauti kama iphone.
![]()
Mkuu kama hujapitia Nokia za symbian 60 umemiss kitu kikubwa sana. Ni kama umeruka stage katika ukuaji. Mfano wa symbian 60 ni Nokia E series.

dah aisee umenikumbusha mbaliUmenikumbusha update moja ya windows 10 juzi apa ambayo ilikuwa inafuta mafaili aisee, dahKupokea updates ni muhimu sana kipindi hiki, kumekua na mianya mingi kwenye platform mbalimbali za vifaa vya electronics, mianya hii imekua ikitumika na wahalifu/wadukuziau mashirika kuingia kwenye simu za watu na kujichotea details binafsi kibao, zikiwemo credit card numbers, passwords na ata location yako.
Hivyo basi kwa kampuni zinazochukulia kwa uzito usalama wa mtumiaji hutoa security updates kila mara pale wanapogundua mwanya kwenye platform yao.
Kwa upande mwingine updates za simu kutoka kwa mtengenezaji huwa zinakuja ili kutatua matatizo mengine ya kama kuisha chaji kwa haraka(battery drainage), tatizo la ubora wa picha au kasi ndogo ya simu. Bila kusahau muonekano mzima wa software ya simu yako.
UPDATES NI MUHIMU KUZINGATIWA
Dah! sasa machine yenye specs kama hizi unahitaji updates tu.Nimerudi Samsung na Galaxy Note 9
Midnight black and cloud silver Samsung Galaxy Note 9s are on the way
KEY SPECS
CPU: Qualcomm Snapdragon 845
Memory: 6/8GB
Storage: 128/512GB
MicroSD storage: Up to 512GB
Screen size: 6.4 inches
Resolution: 2960 x 1440
Connectivity: Bluetooth 5, NFC
Battery: 4,000mAh
Size: 161.9 x 76.4 x 8.8 mm
Weight: 201 g (7.09 oz)
Operating system: Android 8.1 Oreo