Miaka 7 Badae, Samsung S2 Bado Ni Simu Bora.

Mkuu hio 64bits ni nini?

si kweli mkuu kuna utofauti mkubwa tena sana. ni simu nzuri kwa kuchat kupiga simu na mambo madogo madogo ila ukipewa task yoyote kubwa inadata haitafanya chochote.

-Hio simu ipo enzi za 32bit sasa hivi android ni 64bit

-inamiss hardware za kisasa vitu kama ram zenye speed zaidi, bluetooth mpya, processor yenye nguvu zaidi, gpu y3nye nguvu zaidi, vioo vyenye resolution kubwa etc
 
Mkuu hio 64bits ni nini?
Namba za bits ambazo processor inaweza kuzi process kwa wakati mmoja. 2^64 au bits
18 446 744 073 709 551 616

Kwa lugha rahisi kifaa cha 64bit kinakuwa na uwezo wa kutumia ram kubwa zaidi kushinda cha 32bit, hivyo 64bit inakuwa na nguvu zaidi na uwezo wa kurun apps kubwa kubwa.

Kwa simu sasa hivi kote android na ios ni 64bit, hata computer(pc) vile vile manufacture wakubwa wakubwa wameshasitisha support ya 32bit.
 
Je tecno nao wamesitisha hio support ya 32bit au wao bado wanaendelea?
 
Simu yangu ina android version 7 nataka kuiapdate iwe na nane lakini simu yenyewe haijanipa update mpaka sasa na inasemekama hii niupdate ya mwisho. nataka kuapdate kwa kutumia njia nyingine kama alivyofanya mtoa mada je hio update ya aina hii haziwezi kuleta tatizo lolote katika simu?
Namba za bits ambazo processor inaweza kuzi process kwa wakati mmoja. 2^64 au bits
18 446 744 073 709 551 616

Kwa lugha rahisi kifaa cha 64bit kinakuwa na uwezo wa kutumia ram kubwa zaidi kushinda cha 32bit, hivyo 64bit inakuwa na nguvu zaidi na uwezo wa kurun apps kubwa kubwa.

Kwa simu sasa hivi kote android na ios ni 64bit, hata computer(pc) vile vile manufacture wakubwa wakubwa wameshasitisha support ya 32bit.
 
Ww ndo mjanja wa mjini, kusema kweli hata mm sioni tofauti kati ya simu za android, kinachonifanya kubadili simu ni kukosa updates tu wala c kingine, lakini kama ningeweza kupata updates wala nisingebadili
Umeanza kutumia simu lini?

Unaelewa kweli simu ww?

Huoni tofauti ya S8+ na S9+ like seriously Nigga?
 
Simu yangu ina android version 7 nataka kuiapdate iwe na nane lakini simu yenyewe haijanipa update mpaka sasa na inasemekama hii niupdate ya mwisho. nataka kuapdate kwa kutumia njia nyingine kama alivyofanya mtoa mada je hio update ya aina hii haziwezi kuleta tatizo lolote katika simu?
Ni simu gani? Na custom rom inahitaji uwe na uelewa sio kitu cha kuingia kichwa kichwa.

Pia android 7 si ya zamani sana,
 
Back
Top Bottom