majorbanks
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 228
- 66
Mind you,kila mwenye kutoa pesa yake huja na masharti yake,jiandae kuyatimiza ndipo utakuwa malkia mvaa pampas fulltime!!
ha ha ha umenichekesha sana...wazee wa siku hizi bwana ujana wake alikuwa wapi saa hizi anataka kumeng'enyua watoto wa mwanaume mwenzake
pole kwa masahibu wazee ,siku hizi hawazeeki ni wazee vijana ,kama uko shule tuna kampeni yetu ya kusema ,sidanganyiki .endapo uko kazini huyo mzee anakukwaza kwa promotion ,sio tija usigawe hiyo sio pipi ,mpotezeeeeeeeeeHuyu mzee kila kitu anacho, Vijisenti ndiyo usiseme. Anasema ananipenda na yuko tayari kunifanya nionekane malkia katika ulimwengu huu. Jamani naomba ushauri wenu, nimpe au hapana? Umalkia katika ulimwengu huu nautamani lakini umri unanitisha.
Huyu mzee kila kitu anacho, Vijisenti ndiyo usiseme. Anasema ananipenda na yuko tayari kunifanya nionekane malkia katika ulimwengu huu. Jamani naomba ushauri wenu, nimpe au hapana? Umalkia katika ulimwengu huu nautamani lakini umri unanitisha.
hahahahahahahahahahahahah wewe jana si ulikuwa unasema utanitoa kumbe mpaka unata vizee vikutoe ndo unitoeHuyu mzee kila kitu anacho, Vijisenti ndiyo usiseme. Anasema ananipenda na yuko tayari kunifanya nionekane malkia katika ulimwengu huu. Jamani naomba ushauri wenu, nimpe au hapana? Umalkia katika ulimwengu huu nautamani lakini umri unanitisha.
Huyu mzee kila kitu anacho, Vijisenti ndiyo usiseme. Anasema ananipenda na yuko tayari kunifanya nionekane malkia katika ulimwengu huu. Jamani naomba ushauri wenu, nimpe au hapana? Umalkia katika ulimwengu huu nautamani lakini umri unanitisha.
Binti.com, nilikuwa nakuweka katika mahesabu ya wale wanaoweza kuwa wachumba wema wa Power G, lakini kuanzia leo nimekufuta kabisaa. Kumbe wewe nia yako ni umalkia tu na siyo mapenzi!! Bye bye
Huyu mzee kila kitu anacho, Vijisenti ndiyo usiseme. Anasema ananipenda na yuko tayari kunifanya nionekane malkia katika ulimwengu huu. Jamani naomba ushauri wenu, nimpe au hapana? Umalkia katika ulimwengu huu nautamani lakini umri unanitisha.
umpe nini? nisije changanya habari hapaHuyu mzee kila kitu anacho, Vijisenti ndiyo usiseme. Anasema ananipenda na yuko tayari kunifanya nionekane malkia katika ulimwengu huu. Jamani naomba ushauri wenu, nimpe au hapana? Umalkia katika ulimwengu huu nautamani lakini umri unanitisha.