Strawberry
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 274
- 108
Wazee wa mujini mdogo wangu utaliwa na umalkia usiupate utaishia kuambulia jasho la babuuuuuu.ukipewa sana laki laki mbili hakuna jipya.Achana nae chapa lapa jilindeeeeeHuyu mzee kila kitu anacho, Vijisenti ndiyo usiseme. Anasema ananipenda na yuko tayari kunifanya nionekane malkia katika ulimwengu huu. Jamani naomba ushauri wenu, nimpe au hapana? Umalkia katika ulimwengu huu nautamani lakini umri unanitisha.