MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,520
- 6,622
Alafu utawaona baadhi ya viongozi wanawahimiza wananchi eti tuliombee taifa ili mvua inyesheYaani miaka 60 ya uhuru nchi inaingia kwenye mgao wa maji!! Tena mgao maji yanapatikana siku moja kwa wiki!!! Bado kuna watu wanajiona eti wao ndio wenye hati miliki ya kuongoza nchi hii. Siku hizi sasa wamechanganyikiwa na kuanza kuvuana nguo hadharani. Mmoja anaweka jiwe la msingi kujenga bansari na kusaini makubaliano, mwingine anakuja anasema mradi una mashariti ya ukichaaa na mwisho anakuja hangaya anasema hakukua na mkataba wala masharti ya ukichaa.
Hivi kweli katika hali hii kuna mtu anaweza kunishawishi kuwa huko jumba kuu kuna wenye kutumia akili? Kuna maarifa huko? Vijana wa siku hizi wanasema tutafika tukiwa tumechoka. Ila mimi naona hakuna dalili za kufika popote.
Mwisho utadondoka tuHivyo ndivyo mnara wa babeli ulivyofika mwisho wake
Upo sahihi mkubwaccm ni laana
Sasa wapinzani wamemalizwa ndiyo tunayaona maendeleo ya kushangazaWapinzani walituchelewesha mno!!
Alafu utawaona baadhi ya viongozi wanawahimiza wananchi eti tuliombee taifa ili mvua inyeshe
Anasema uraisi ni janga. TumepigwaaaaaaaNa kipindi hiki ndio hali itakua mbaya zaidi kwani tumeweka incompetent pale juu, itakua shida.
Kama ni janga alilazimishwa kuukubali ?Anasema uraisi ni janga. Tumepigwaaaaaaa
Na anutaka hapo 2025 ajabu!!Kama ni janga alilazimishwa kuukubali ?
Kupata maendeleo,Wapinzani walituchelewesha mno!!
Basi waache kutufanya sisi wananchi kuwa kauzu maana kidemokrasia sisi ndiyo wapiga kura na wenye uwezo wa kuamua ni kiongozi yupi tunamhitaji kutuongoza kipindi hiki au kile.Na anutaka hapo 2025 ajabu!!
You're stupid. SorryTusiwe watu wa kulaumu tu wewe umesha chimba hata kisima hapo kwako? Au una solar?
JFK alisemaje "dont ask what?..."
Umetafakari kabla ya kuandika mkuu?Tusiwe watu wa kulaumu tu wewe umesha chimba hata kisima hapo kwako? Au una solar?
JFK alisemaje "dont ask what?..."