Rogojin The Idiot
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 3,464
- 4,116
Tuliosoma chuo hiki tulipata tabu sana. Kwa kiwango kikubwa tulisoma madesa. kwa kiwango kikubwa ilikuwa lazima tuhakikishe tunafaulu yale maswali ya madesa ili tusishindwe kupata degree.Chuo hiki kikongwe nchini kinatimiza miaka 60 toka kuanzisha Nini changamoto,mafanikio na mafunzo kwa watawala, maprofesa na wanafunzi?
**Cha ajabu chuo hiki pendwa hii. Hakuna midahalo, Wala kumbukizi
**RIP Prof Luhanga.
Wanasubiri UteuziChuo hiki kikongwe nchini kinatimiza miaka 60 toka kuanzisha Nini changamoto,mafanikio na mafunzo kwa watawala, maprofesa na wanafunzi?
**Cha ajabu chuo hiki pendwa hii. Hakuna midahalo, Wala kumbukizi
**RIP Prof Luhanga.
OkWanasubiri Uteuzi
ShidaaaInasikitisha sana...
Hapo TEKU mmezalisha wanaofikiri?Elimu feki imetuletea siasa mbovu,imezalisha wasomi wasiofikiri kwa mantiki,wabinafsi wakubwa na watu wasiojielewa.Ndio maana wafuasi wa mange wengi ni wasomi wa vyuo hasa wasichana.
Wanaume wengi wasomi machawa wa viongozi
Sehemu mojawapo ya mafanikio na kumbukizi ya UDSM ni uvumbuzi wa "vimbweta"Chuo hiki kikongwe nchini kinatimiza miaka 60 toka kuanzisha Nini changamoto,mafanikio na mafunzo kwa watawala, maprofesa na wanafunzi?
**Cha ajabu chuo hiki pendwa hii. Hakuna midahalo, Wala kumbukizi
**RIP Prof Luhanga.
Hongera sanaSehemu mojawapo ya mafanikio na kumbukizi ya UDSM ni uvumbuzi wa "vimbweta" View attachment 2394744
Chuo MamaChuo cha Kwanza kwa Ubora Afrika
Kama hujasoma Udsm usilete chuki zako binafsi kusema kwama aliesoma bachelor ya computer engineering au science ukimuuliza hajui hard disc. Umeona wapi au umesikia wapi? Wasomi hatupo hivyo jenga hoja ya maana sio chuki zako binafsi kisa labda hukupata admission hapo au vyovyote vileYaani kusema kweli mimi sijasoma UDSM ila hiki chuo ukitaka kujua ni kituko kutana na mtu kasoma bachelor of computer mwambie akuoneshe hard disc auq mwambie akufafanulie computer practically au kasoma mechanical engineering muulize chochete practically ndo utashangaa maajabu kuwa pale watu wanaenda kukua ili waje wachukue vyeo na kusaini mikataba na document bila kusoma ndo maana hata TANESCO mpaka leo hakuna la maana pale ujinga tu! Product za vyuo vyetu ikiwemo UDSM.
JalalanHv unakusudia pale jalalan???