Habari ndugu zangu wa jf,
me ni mgeni kwa maana ya kuandika uzi lkn ni mkongwe kwa kufatilia jf naomba kwa akili ya chini kabsa tutafakari haya kwa miaka 54 ua uhuru....
Ukienda shule kuna walimu ila hakuna elimu,
hospital kuna wauguzi lkn hakuna tiba,
mashambani kuna wakulima ila hakuna kilimo,
airports kuna viwanja ila ndege hatuna,
mahakamani kuna sheria lkn hakuna haki,
polisi kuna askari lkn hakuna usalama,
maofisini kuna watumishi lkn hakuna huduma,
madukani kuna bidhaa lkn pesa hatuna,
ukisafiri njia zipo ila barabara ndo hakuna........
Hata haya nayo hatujiongezi???
bado tunahitaji darubini kuona??
Ama calculator kung'amua??
It doesn't need a rocket science to understand...
sawa watz akili hatuna,hata macho jamaniii?!!
Nadhani imekurupuka. Ungepitia kwa makini uzi wa mleta uzi ingeelewa zaidi. Ila kwa kuwa ndivyo ulivyofundishwa na huo ndo msingi wako toka shuleni, SIONI AJABU SANA!Kama mahakamani hakuna haki mbona nyie mnataka wenye ule ushahidi fulani waende? sasa mnawatuma kwa makusudi huku mkijua hawatapata haki ama? Wenzako wote wana imani na mahakama umebaki wewe.
Kama barabara hakuna mbona mnapita na Magari madogo hadi vijijini kufanya kampeni? Tatizo lako darubini yako ina uwezo mdogo wa kuona yaani focus capacity ni ndogo. Nunua ingine huna hoja.
Nia tunayo,uwezo tunao na sababu tunazo za kumchagua MAGUFULI, HAPA_KAZI_TU!
fisadi wameharibu mahakama kwa rushwa halafu wanawaambia wananchi waende mahakamani au wafunge mdomo kuwazuia wasiingie ikuluKama mahakamani hakuna haki mbona nyie mnataka wenye ule ushahidi fulani waende? sasa mnawatuma kwa makusudi huku mkijua hawatapata haki ama? Wenzako wote wana imani na mahakama umebaki wewe.
Kama barabara hakuna mbona mnapita na Magari madogo hadi vijijini kufanya kampeni? Tatizo lako darubini yako ina uwezo mdogo wa kuona yaani focus capacity ni ndogo. Nunua ingine huna hoja.
Ni kweli kabisa wamepata elimu lkn WAMEPATA BORA ELIMU TU ILI KUFUNIKA KOMBE MWANAHARAMU APITE kwa watoto wa WAPIGA KURA. Na miongoni mwao ni pamoja na wewe USIYEJITAMBUA HATA KIDOGO.Viroba vinasumbua sana. Hawa mnaosema kuwa wanakos ajira pamoja na kusoma kwao wamepata wapi elimu unayosema hakuna?
Viroba vinasumbua sana. Hawa mnaosema kuwa wanakos ajira pamoja na kusoma kwao wamepata wapi elimu unayosema hakuna?