Miaka 54 ya uhuru lakini mambo si mambo

Miaka 54 ya uhuru lakini mambo si mambo

Kweli alie shiba amkumbuki mwenye njaa . Albino wanauawa na polisi inavamiwa eti usalama
Tumieni ubongo kufikiri nasi moyo mkuu

Sasa rafiki hebu tufikiri kidogo; wauza viungo vya binadamu ni polisi ama jamii tunayoishi nayo? Hebu fikiria wauzaji wengine ndugu zetu tunaishi nao na tunawafichia uovu kisa eti tutalogwa? Sasa hivi huyu polisi yeye bila msaada wa jamii anawaibuaje hao waovu kama wewe tu unayeishi nao huwatambui? Kuna kitu kinachoitwa Polisi jamii, je uliwahi kukisikia? Kama ndiyo umeshiriki vipi wewe mwenyewe maana mtandao wake unafika hadi uliko wewe? Kama hujawahi kusikia unadhani shida nini? Wewe unajishirikishaje kwenye forum za maendeleo ya kijijini, kata, tarafa na Wilaya? Hivi unahudhuria vikao vingapi vya ngazi ya jamii uliyopo wewe au umewaachia wazee tu? Jamani hebu tufanye audit ya akina nani huhudhuria forum za maendeleo ngazi za chini zaidi! Kama hatujitokezi kushiriki mambo ya msingi huko kwa wananchi na kutwa kushinda jf kushabikia basi yawezekana hata fursa hatuwezi kukutana nazo. Jitafakari
 
Kweli unamanisha haya au huko kwenye utani.Rweye na wenzako yanapokuja mazuri mfano kwanini tusitoe elimu na huduma ya afya bure mnasema atuwezi kua kama marekani sababu wao walipata uhuru mapema. Je umaskini mnaanza kuaa eti na Marekani wapo ....sasa inamaana sisi tubaki tu hivyo! Tatizo lenu nikwamba mnashindwa kusoma wakati na mahitaji. Je kama Marekani kuna umaskini lini wamarekani wamekufa na kipindupindu?
Je chama gani marekani kimeongoza zaidi ya miaka 54 bila kupumzika.? Tunaitaji competitive politics for a prosperity and democracy.
Tunamatatizo tofauti na tunaitaji majibu tofauti kutoka chama na serikali tofauti.
 
Katika hiyo miaka 54 Lowasa, Sumaye and others wamo tena walikua na nafasi nzuri tu za kufanya kitu ila hawakufanya sasa huko kwenu wanatafuta nini?
 
Kweli unamanisha haya au huko kwenye utani.Rweye na wenzako yanapokuja mazuri mfano kwanini tusitoe elimu na huduma ya afya bure mnasema atuwezi kua kama marekani sababu wao walipata uhuru mapema. Je umaskini mnaanza kuaa eti na Marekani wapo ....sasa inamaana sisi tubaki tu hivyo! Tatizo lenu nikwamba mnashindwa kusoma wakati na mahitaji. Je kama Marekani kuna umaskini lini wamarekani wamekufa na kipindupindu?
Je chama gani marekani kimeongoza zaidi ya miaka 54 bila kupumzika.? Tunaitaji competitive politics for a prosperity and democracy.
Tunamatatizo tofauti na tunaitaji majibu tofauti kutoka chama na serikali tofauti.

Sasa rafiki unataka tuamini kwamba wewe una majibu ya changamoto zote kwa wakati mmoja? Hivi unajua kuwa miundo mbinu maji ilijengwa maeneo mengi lakini wengine wakakata eti wanyweshee ng'ombe halafu wewe hukuhudhuria mikutano ya kijijini ukawaelimishe. Hivi huoni haya mabomba yaliyotandazwa kwa ajili ya maji? Hivi unajua huko walikoendelea wanakufa kwa magonjwa ya uvivu kisukari , high blood pessure nk. Jamani haipo dunia utakayoimalizia matatizo anzia walipoishia kwa KAZI TUUU
 
Back
Top Bottom