Miaka 50 ya uhuru..Tumethubutu, Tumeweza na Tunasonga Mbele..Oyeee!

Miaka 50 ya uhuru..Tumethubutu, Tumeweza na Tunasonga Mbele..Oyeee!

Tulizo

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
848
Reaction score
664
Miaka 50 ya uhuru..Tumethubutu, Tumeweza na Tunasonga Mbele..Maziwa..Maziwa ya bure Oyeee!

Capturea.JPG
 
Maisha bora kwa kila Mtanzania hayo... kitu cha milk popote...
 
Mwaka 2010 tuliahidiwa nchi ya maziwa na asali. Maziwa tumeyaona bado asali tena iwe kutoka Tabora.
 
Hii ilikua mchana, sasa huyu jamaa hapo si anatakiwa awe amefunga? kitendo anachokifanya kinaitwaje? Faiza Fox naomba msaada kwa tuta maana nahisi huyu atakua Chadema tu
 
Back
Top Bottom