Miaka 5 baada ya kifo cha mzee Moses Kulola: EAG(T) inaangamia

Miaka 5 baada ya kifo cha mzee Moses Kulola: EAG(T) inaangamia

Tumevamia mada ya watu ndugu, kabla Hatuja sogea mbele kidogo soma kwanza mafungu niliyo kupa, then ndo tuyajadili na hayo uliyo nipa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo mafungu uliyonipa nimeyasoma lakini hayazungumzii chochote kuhusu kifo labda unukuu hapa watu waone,mimi nataka unithibitishie kwa maandiko kwamba mtu akifa anaenda mbinguni,mbona huleti mafungu mpendwa?tatizo nini?,mimi nimethibitisha kwamba mtu akifa haendi mbinguni na mafungu baadhi nimekuwekea hapo,hebu na wewe nipe mafungu mpendwa ili tujifunze wote wala si ugomvi ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umefundishwa kuwa mpinga Kristo? Umewahi kusoma maandiko hayo hayo juu ya Kisa cha Lazaro na Tajiri aliyekuwa akimlisha masalia ya chakula cha Mbwa?
Yesu aliyeiumba Mbingu anafundisha kwamba mtu akiisha kufa roho yake moja kwa moja inaenda Mbinguni au motoni au toharani kutegemea na maisha yake aliyoishi hapa duniani. Sasa na wewe unayo Mbingu yako ambayo hakuna ambaye ameshaingia hadi sasa kwa sasa mwisho Wa dunia haujafika?
Jaribuni kusoma biblia na kabla ya kusoma jaribu kuomba roho wa Mungu akuongoze uielewe,lazaro alipokufa kama angekuwa kaenda mbinguni kwanini Yesu kristo alimfufua wakati alikuwa mahali pazuri na salama?

Someni maandiko mkiongozwa na roho wa Mungu wapendwa acheni kusoma biblia kama gazeti,watu wangekuwa wanakufa na kwenda moja kwa moja jehanamu au mbinguni basi kwanini kristo arudi mara ya pili?,na je hukumu itakuwepi ya kazi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
K

Kanisa katolik limejaa ushetan wa kila rang unaojinasib kwa haki feki ya urithi wa Petro.....ukienda mbali zaid utagundua kua petro hakuwah kuanzsha taasisi yakumuabudu bikira maria nakuabudu masanamu kama mfanyavyo ama sherehe zenye pombe n.k.....kiujumla katolik ndiyo lile chukizo la uharibifu.

Kuna ushetani mkubwa kuzidi ule Wa Ellen White kufundisha kwamba sherani ndiye atabeba dhambi zetu wakosaji? Kuna ushetani mkubwa kushinda ule Wa kupiga ramli uliofanywa na akina Miler na Ellen kwamba Yesu angerudi kati ya Mwaka 1843 na Mwaka 1844?Kuna ushetani mkubwa kama Wa Ellen White kuzuieni ninyi wafuasi wake kula Nguruwe lakini yeye akawa anatumia nyama yake?
 
Jaribuni kusoma biblia na kabla ya kusoma jaribu kuomba roho wa Mungu akuongoze uielewe,lazaro alipokufa kama angekuwa kaenda mbinguni kwanini Yesu kristo alimfufua wakati alikuwa mahali pazuri na salama?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kumbe unasoma Biblia kwa kurukaruka? Hujui kutofautisha Lazaro alyefufuliwa na Lazaro kama jina la kutungwa ili kufikisha ujumbe huo aliokusudia Yesu?
 
Nipe mafungu mpendwa acha blah blah

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama unasoma Biblia na bado hujaelewa hicho ninachokisema kiko wapi basi wewe husomi Biblia Bali unakariri sawa na William Miller alivyosoma na kukariri na mambo na kuishia kuwatumbukiza katika kupiga ramli za kurudi kwa YESU mnamo tarehe 22 Oktoba 1844.
 
Sawa mpendwa endelea kuelewa kwamba siku ukifa unaenda mbinguni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda mpendwa katubu haraka wala usikubali kungoja ghadhabu ya Bwana ikujie. Nawaonya hata wengineo wote wenye vijitabia vya kuwasema vibaya wapakwa mafuta wa Bwana. Hivi hujiulizi kuwa; Ilikuwaje Mungu asiyelala aruhusu hao uliowaita majizi waweze kuingia ofisini waliongoze kundi la Bwana?? Ati wamejaa maroho machafu!! Naona umefika mbali ndugu yangu. Kimbia katubu tena kwa kuwa inaonesha na wewe ni mchungaji uliye karibu sana na hao maroho machafu, nenda kwao ukawaombe msamaha.
Mungu tu akusaidie uweze kupona hili. HAKUNA AINUAYE MDOMO JUU YA MTUMISHI WA MUNGU AKAPONA. Humkumbuki Miriam alivyopigwa ukoma kwa manenop yake juu ya Musa? Je, Miriam alisema uongo kumhusu Musa na mkewe?? Lakini, si wajua kama sio maombi ya Musa, Miriam alikuwa afe??
Ogopa kuwanenea maneno yoyote mabaya hao wanaoitwa WAPAKWA MAFUTA WA BWANA. Mark ma words
 
Sawa mpendwa endelea kuelewa kwamba siku ukifa unaenda mbinguni

Sent using Jamii Forums mobile app

Nikiwa nimetenda mema hakutakuwa na kizuizi cha kuingia mbinguni Mara tu ya kifo changu. Na wewe ikiwa utatenda mema utaingia mbinguni Mara baada ya kufa tu.

Kwani Biblia haijakufundisha kwamba YESU alipokufa aliingia Mbinguni moja kwa moja? Na je kama huniamini mimi hata Yesu naye humuamini alipomuambia yule mnyang'anyi mmoja pale msalabani kwamba "hakika leo utakuwa nami peponi?" Je,kwa uelewa wako, Yesu alimpa yule jamaa matumaini hewa? Au kuna mbingu nyingine tofauti na hiyo unayoelezwa na maandiko yako?
 
cjaona kanisa hapo wote nyie ni wapiga dili tu, hapo kuna kanisa jingine mapadre wao wana skendo ya ubakaji wa watoto hasa ulaya.

Wewe umeambiwa kubaka ndio dhambi kubwa pekee? Yule jamaa mnyang'anyi aliyeingia mbinguni dakika za mwisho kutokea msalabani unafahamu vizuri dhambi zake zote zilizomfanya aning'inizwe msalabani? Unafikiria mambo ya ubakaji hayakuwa sehemu ya tabia zake? Kwa hiyo wewe na wenzio msiobaka ndio mlimfanya YESU ajiongezee mwili na kuja duniani na kufa msalabani?
 
Back
Top Bottom