Miaka 4 ya mahusiano akaambulia patupu

Miaka 4 ya mahusiano akaambulia patupu

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,997
Habari zenyu bana....

"Gladdy najua unanipenda and of course na mimi nakupenda pia sana tu kama nitakosea naomba unisamehe... you are the woman na zaidi ya hayo una malengo yako hata kama nitakukosa haina shida kama utakuwa ktk mikono salama. mi nina mambo mengi nashindwa kutoa msimamo kwa sasa"

Ni maneno aliyoambiwa rafiki yangu usiku wa kuamkia leo. Anasema alihisi dunia imegeuka Up-side down. Moyo ulisimama kwa ghafla make hakuamini alichoambia na mwanaume ambaye amedumu naye miaka 4 akiamni ndiye mume wake mtarajiwa.

Aisee inauma sana..
anadai hakuna mkwaruzano wala ugomvi. Bali alitaka tu kujua mwanaume ana msimamo gani make walikuwa wanakwenda tu bila kujua hatma ya mahusiano yao.

Tumfariji na kujifunza pia kupitia relationship hii...
 
Lazima kuna jambo halijakaa sawa sehemu...au shoga yko anaulizia sana mambo ya commitmnt
 
Hata kama ingekuwa mimi ningeuliza, 4 yrs hapana aisee! Yaan hapo mtoto anakuwa kashaanza kindergarten....
 
Vijana cku hz wanaogopa saba commitmnt....sometimes unaacha mambo yaende mungu ndio anajua

Sasa shoga yako kapewa uhuru wa kuendelea na life na mtu mwingine ni bora aendelee kusubiri hapo kuliko kuanza mahusiano mengine hamna guarantee kuwa huko ndio atapata atakacho
 
Yupo aliyemchagua kuwa nae.... !!yaani wanaume ni balaaa
 
Ana mambo mengi amesema
 
Yupo aliyemchagua kuwa nae.... !!yaani wanaume ni balaaa

Yaan.. Moyo wa mtu ni kiza kinene. Et "Hata mie nakupenda tena sana" si afadhali angempa moyo walau nivumilia mpaka hapo mambo yangu yatakapo kuwa sawa??

Ina maana tayari hakuwa na mpango naye kabisa!
 
Vijana cku hz wanaogopa saba commitmnt....sometimes unaacha mambo yaende mungu ndio anajua

Sasa shoga yako kapewa uhuru wa kuendelea na life na mtu mwingine ni bora aendelee kusubiri hapo kuliko kuanza mahusiano mengine hamna guarantee kuwa huko ndio atapata atakacho

Laiti angemwambia kuwa nivumilie mpaka hapo baadae nitakapokuwa nimejipanga hapo sawa. Lakini kuambiwa kuwa "Saivi nina mambo mengi nashindwa kuamua" ina maana hata hayumo kwenye plan zake...
 
Daaah unaweza ukahisi Mungu yupo likizo kwa upande wako. Na-imagine wanaume ambao huyo mdada aliwakataa probably akijua ashapata mume..... the sacrifices she made for the sake of love etc. Mwambie amshukuru tu Mungu kwa yote, pengine huyo mkaka hakuwa riziki yake. Najua ni ngumu sana kwake kumove on, but hiyo ndo only option aliyonayo kwa sasa. Mungu atampigania na atamfuta machozi yake

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hapo anamaanisha hawezi kuacha yale mambo ambayo inabidi uachane nayo once ur commited...msione watu tumeoa kwny ujana we av sacrified alot whch watu wengine wanashindwa

Uko sahihi mkuu... Hata mie nahisi kuna vitu ambavyo anashindwa kuacha mara tu atakapotangaza nia...

Ingelikuwa ni mtu mwenye nia walau angemwambia "Nivumilie kwa muda"...
 
Laiti angemwambia kuwa nivumilie mpaka hapo baadae nitakapokuwa nimejipanga hapo sawa. Lakini kuambiwa kuwa "Saivi nina mambo mengi nashindwa kuamua" ina maana hata hayumo kwenye plan zake...

R u married?...huyo jamaa hayupo ready for commitment for nw.
 
Hapo anamaanisha hawezi kuacha yale mambo ambayo inabidi uachane nayo once ur commited...msione watu tumeoa kwny ujana we av sacrified alot whch watu wengine wanashindwa

Sasa kwa kauli hiyo hajaPlan kuwa nae....!!Yupo ambaye ataacha mambo mengi aliyokuwa nayo na kuoa.
Amejaribu kumzunguka wala haitaji akil kubwa kung'amua hilo.
Jamaa anahitaji space
 
Daaah unaweza ukahisi Mungu yupo likizo kwa upande wako. Na-imagine wanaume ambao huyo mdada aliwakataa probably akijua ashapata mume..... the sacrifices she made for the sake of love etc. Mwambie amshukuru tu Mungu kwa yote, pengine huyo mkaka hakuwa riziki yake. Najua ni ngumu sana kwake kumove on, but hiyo ndo only option aliyonayo kwa sasa. Mungu atampigania na atamfuta machozi yake

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Ni kweli mamie... Ndani ya hiyo 4yrs kawakatalia wanaume kadhaa tena waliodeserve kumuoa pasi na shaka, lakini aliwakatalia kwa ajili yake.

Anatamani siku zirudi nyuma awakubalie, lakini holla! Anatamani awatafute ili ajue kama wameshaoa lakini ni kitu ambacho hakiwezekani.

Mie nimemshauri "Kila jambo lina kusudi lake" hawezi jua ni nini kaepushiwa kwa huyo mwanaume.
 
Yaan.. Moyo wa mtu ni kiza kinene. Et "Hata mie nakupenda tena sana" si afadhali angempa moyo walau nivumilia mpaka hapo mambo yangu yatakapo kuwa sawa??

Ina maana tayari hakuwa na mpango naye kabisa!

Achape lapa hana chake hapo....kwa kifupi tu hamuhitaji.
 
Sasa kwa kauli hiyo hajaPlan kuwa nae....!!Yupo ambaye ataacha mambo mengi aliyokuwa nayo na kuoa.
Amejaribu kumzunguka wala haitaji akil kubwa kung'amua hilo.
Jamaa anahitaji space

Ndio maana its best ukamwacha mtu aamue kuwa anataka commitmnt rather than kuwa una push while unajua he's nt ready especially when ur nt ready to move on
 
R u married?...huyo jamaa hayupo ready for commitment for nw.

Hahahaaa.... Not yet mkuu, ila kwa mie sitoweza kukaa muda wote huo aisee... Watu wengine ni wavumilivu sana!!
 
So u will nvr stay wit a guy for 4yrs without a commitment?

Wakati mwingine hayo mambo yanaeda na bahati unapata mtu ambaye yupo ready bt for nw vijana wagumu kuoa anataka ale maisha kwanza
 
Duh maskini gladi wa watu mpe pole sana .unajua alikosea sana kukaa na mtu for 4yrs bila kujua msimamo wake manake angeliuliza hili ndani ya 6 months lingekua na maana zaidi. Sasa yeye kaona mwaka wa kwanza umepita kakauka tu , wa pili nao kanyamaza haulizi hadi huu wa 4 ndo anauliza , aisee mmmmhh hilo ni bonge la mistake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom