Miaka 36 ya Mugabe Zimbabwe na 12 ya Mbowe CHADEMA

Mada yako imepitwa na wakati.

Huu ni wakati wa Watanzania, sio vyama.
Ni wakati wa kufanya kazi, sio itikadi.
Ni wakati wa kujiletea maendeleo, sio siasa.

Tafuta kazi ya kufanya
UKWELI SIKU ZOTE HUWA MCHUNGU ZAIDI Y MWAROBAINI
 
Hahaha
mikono walizungusha ikapata ganzi haizunguki tena
Tuli mfyeka FISADI LAO
Hahahaha
Ila msiwafanyie hivyo hawa jamaa hali yao mbaya hawana pa kushika wanastahili upendo tusiwatenge watabadilika kidogo kidogo mm mpaka leo nmefanikiwa kuwaokoa 2 walioshirki kudeki barabara namshukuru mungu wanaendelea vizur wamekuwa wanamabadirko wa kweli si kuzungusha mokono kama propela la helkopta
 
Mwaka 1980 wakati Mzee Robert Mugabe anaanza kuongoza Zimbabwe mimi nilikuwa nasoma chekechea iliyokuwepo katika majengo ya Forodhani Primary School. Leo hii kidevu changu kimeanza kujaa nywele nyeupe na nikienda kwa kinyozi naziona nywele nyeupe zidondoka kutoka kichwani, bado Mzee Mugabe anatukanana na Wazungu akiwa kama rais wa Zimbabwe!.

Mwaka 1986 wakati nipo darasa la sita pale pale Forodhani, Mzee Museveni ndipo alipokuwa akiingia madarakani kule Uganda akiwa ameipata nchi kwa mtutu wa bunduki, leo hii Museveni huyo huyo anagombea urais kwa maana ya kutaka kuendelea kubakia madarakani?.

Freeman Mbowe aliingia kwenye uongozi wa juu wa CHADEMA mwaka 2004, kwa matarajio kwamba ikifika mwaka 2014 awe ameachia madaraka baada ya vipindi viwili vya uongozi kumalizika. Lakini wakati muda wake wa kukaa kwenye uongozi ukiwa unakaribia kuisha, katiba ya CHADEMA ikabadilishwa na mpaka sasa bwana mkubwa bado ni kiongozi mkuu. Tayari ana miaka 12 kwenye uongozi, na taratibu anaelekea kule kule kwa kina Mugabe na Museveni. Muda huwa unakimbia kwa kasi sana. Bwana mkubwa huyo anaweza kutimiza miaka 20 akiwa kiongozi mkuu halafu ikaja miaka 30 akiwa kiongozi. Time passes so fast.

Sifa mojawapo ya demokrasia ni ule uwezo wa kuandaa mrithi wa uongozi, ili aje aendeleze yale ambayo tayari yameshafanyika. CHADEMA wasipokuwa waangalifu wanaweza kujikuta wanatumia neno demokrasia bila ya kuwa na mfano hai wenye kuonyesha kuliheshimu, kuanzia ngazi ya juu kabisa.
sioni kama mbowe anafall kwenye category ya hao kina MUGABE,
 
una elimu gani mkuu ? maana hii propaganda yako ni ya kichovu sana na karibu kila mwenye kiwango kama chako ameitumia kwenye jukwaa hilihili , sasa swali , hivi hakuna kashfa yoyote ya ukweli kuhusu Mbowe uiweke hapa badala ya kunakili yale yaliyoshindwa ?
Binadamu wanao wajibu wa kukumbushana, miaka 36 ya Mugabe madarakani imeweza kufikiwa kimchezomchezo tu. Na ukweli unabakia kuwa mtu anapokaa katika uongozi kwa muda mrefu anajijengea mazingira ya kuonekana dikteta, kwani mawazo yake huchukuliwa kama vile ni sahihi muda wote. Vijana wenye karama ambazo bado hazijaonekana, wanashindwa kuonyesha uwezo wao kwa sababu ya kuhofia kumkera bwana mkubwa. Mugabe na Museveni wamedumu kwa sababu ya uwezo wao wa kutengeneza uzio unaowazunguka wao na kuwatenga walio wengi. CHADEMA inashauriwa mapema ili isije kufika huko.
 
Mwaka 1980 wakati Mzee Robert Mugabe anaanza kuongoza Zimbabwe mimi nilikuwa nasoma chekechea iliyokuwepo katika majengo ya Forodhani Primary School. Leo hii kidevu changu kimeanza kujaa nywele nyeupe na nikienda kwa kinyozi naziona nywele nyeupe zidondoka kutoka kichwani, bado Mzee Mugabe anatukanana na Wazungu akiwa kama rais wa Zimbabwe!.

Mwaka 1986 wakati nipo darasa la sita pale pale Forodhani, Mzee Museveni ndipo alipokuwa akiingia madarakani kule Uganda akiwa ameipata nchi kwa mtutu wa bunduki, leo hii Museveni huyo huyo anagombea urais kwa maana ya kutaka kuendelea kubakia madarakani?.

Freeman Mbowe aliingia kwenye uongozi wa juu wa CHADEMA mwaka 2004, kwa matarajio kwamba ikifika mwaka 2014 awe ameachia madaraka baada ya vipindi viwili vya uongozi kumalizika. Lakini wakati muda wake wa kukaa kwenye uongozi ukiwa unakaribia kuisha, katiba ya CHADEMA ikabadilishwa na mpaka sasa bwana mkubwa bado ni kiongozi mkuu. Tayari ana miaka 12 kwenye uongozi, na taratibu anaelekea kule kule kwa kina Mugabe na Museveni. Muda huwa unakimbia kwa kasi sana. Bwana mkubwa huyo anaweza kutimiza miaka 20 akiwa kiongozi mkuu halafu ikaja miaka 30 akiwa kiongozi. Time passes so fast.

Sifa mojawapo ya demokrasia ni ule uwezo wa kuandaa mrithi wa uongozi, ili aje aendeleze yale ambayo tayari yameshafanyika. CHADEMA wasipokuwa waangalifu wanaweza kujikuta wanatumia neno demokrasia bila ya kuwa na mfano hai wenye kuonyesha kuliheshimu, kuanzia ngazi ya juu kabisa.
Hakuna wa kumuuliza
 
kweli nyani haoni kundu lake, vipi kuhusu nyie Chama cha Makaburu lini mtaacha kuifanya zenji km koloni? Lini mtaachia wengine waitawale Tanganyika,
 
Huwa zinapoanzishwa mada za aina hii kama huna chama na huegemei upande wowote basi kaa pembeni hadi mtifuano uishe! kinyume cha hapo utajikuta uko vitani na hujui unapigana upande upi! majina kama nyumbu, viwavi, mapovu, lumumba, ufipa, nk. huwezi kuyakosa!.very interesting! ngoja tuendelelee kutazama hii civil war.
 
Hiyo ndiyo raha ya jf
 
Hahaha
lijamaa ndio lakwanza kusema
Jk anampango wa kujiongezea muda
kiukweli Mbowe ni Janga
Design chadema kama wamechanganyikiwa hivi,katiba wameivuruga huku tena lowasa kashasema 2020 anagombea tena hawana la kujibu,pesa mbaya sana watu wamekua kama mazuzu, leo ntaenda bils nikaruke nyoka mbowe njoo bana utupe company
 
mkishindwa mnavuja uchaguz,we jamaa na mvi zako huna akili kabsaa,huo mwaka 80 mi cjazaliwa nilitegemea uwe na busara kumbe zero, hv unaongeleaje kuwako kwa mbowe miaka 12 unaacha ushetani wa ccm? Majimbo mangapi ccm mnashndwa waziwaz lakin mnatumia polis kujitangaza? Mara ngapi visiwan ccm inaanguka lakn polis na jesh wanaisimamisha kwa nguvu? Mbowe ana msimamo sana ndo mana hawaish midomon mwenu.
 
Mvi zangu ni busara tupu ndio maana nimewashauri msilee udikteta kwa kisingizio cha mtu kupendwa na watu. Mugabe na Museveni mpaka leo wanapendwa na watu. Hayo ya CCM kuiba kura huna ushahidi nayo zaidi ya kuwa ni maneno unayoyasikia na kuyasoma bila ya kuwa na uwezo wa kuyathibitisha wewe mwenyewe. Katiba ya CHADEMA ilikuwa inaruhusu kiongozi mkuu kuwepo kwenye uongozi kwa miaka 10 lakini imebadilishwa ili bwana mkubwa aendelee kuwepo kwenye siasa. Mwanasiasa hata kama unapendwa sana lazima pawepo na ukomo wa utumishi wako kwa maana ya ukuu katika chama.
 
Mwaka 1980 wakati Mzee Robert Mugabe anaanza kuongoza Zimbabwe mimi nilikuwa nasoma chekechea iliyokuwepo katika majengo ya Forodhani Primary School.

Leo hii kidevu changu kimeanza kujaa nywele nyeupe na nikienda kwa kinyozi naziona nywele nyeupe zidondoka kutoka kichwani, bado Mzee Mugabe anatukanana na Wazungu akiwa kama rais wa Zimbabwe!.

Mwaka 1986 wakati nipo darasa la sita pale pale Forodhani, Mzee Museveni ndipo alipokuwa akiingia madarakani kule Uganda akiwa ameipata nchi kwa mtutu wa bunduki, leo hii Museveni huyo huyo anagombea urais kwa maana ya kutaka kuendelea kubakia madarakani?.

Freeman Mbowe aliingia kwenye uongozi wa juu wa CHADEMA mwaka 2004, kwa matarajio kwamba ikifika mwaka 2014 awe ameachia madaraka baada ya vipindi viwili vya uongozi kumalizika.

Lakini wakati muda wake wa kukaa kwenye uongozi ukiwa unakaribia kuisha, katiba ya CHADEMA ikabadilishwa na mpaka sasa bwana mkubwa bado ni kiongozi mkuu.

Tayari ana miaka 12 kwenye uongozi, na taratibu anaelekea kule kule kwa kina Mugabe na Museveni. Muda huwa unakimbia kwa kasi sana. Bwana mkubwa huyo anaweza kutimiza miaka 20 akiwa kiongozi mkuu halafu ikaja miaka 30 akiwa kiongozi. Time passes so fast.

Sifa mojawapo ya demokrasia ni ule uwezo wa kuandaa mrithi wa uongozi, ili aje aendeleze yale ambayo tayari yameshafanyika.

CHADEMA wasipokuwa waangalifu wanaweza kujikuta wanatumia neno demokrasia bila ya kuwa na mfano hai wenye kuonyesha kuliheshimu, kuanzia ngazi ya juu kabisa.
Irrelevant
 
Irrelevant
Wenye akili timamu wameniambia kuna vitu vingi sana relevant. Miaka 30 au 36 ya udikteta inaanza na miaka 2 ya kuwepo madarakani kinyume cha katiba, halafu muda unazidi kusogea na kiongozi anakuwa ameshavifikia viwango vya udikteta. CCM wanapoambiwa ukweli huwa wanaumia mioyoni lakini wanajitahidi kuufanyia kazi, huu uwe wakati wa CHADEMA kuufanyia kazi ushauri wenye ukweli kutoka kila sehemu.
 
Mwaka 1980 wakati Mzee Robert Mugabe anaanza kuongoza Zimbabwe mimi nilikuwa nasoma chekechea iliyokuwepo katika majengo ya Forodhani Primary School.

Leo hii kidevu changu kimeanza kujaa nywele nyeupe na nikienda kwa kinyozi naziona nywele nyeupe zidondoka kutoka kichwani, bado Mzee Mugabe anatukanana na Wazungu akiwa kama rais wa Zimbabwe!.

Mwaka 1986 wakati nipo darasa la sita pale pale Forodhani, Mzee Museveni ndipo alipokuwa akiingia madarakani kule Uganda akiwa ameipata nchi kwa mtutu wa bunduki, leo hii Museveni huyo huyo anagombea urais kwa maana ya kutaka kuendelea kubakia madarakani?.

Freeman Mbowe aliingia kwenye uongozi wa juu wa CHADEMA mwaka 2004, kwa matarajio kwamba ikifika mwaka 2014 awe ameachia madaraka baada ya vipindi viwili vya uongozi kumalizika.

Lakini wakati muda wake wa kukaa kwenye uongozi ukiwa unakaribia kuisha, katiba ya CHADEMA ikabadilishwa na mpaka sasa bwana mkubwa bado ni kiongozi mkuu.

Tayari ana miaka 12 kwenye uongozi, na taratibu anaelekea kule kule kwa kina Mugabe na Museveni. Muda huwa unakimbia kwa kasi sana. Bwana mkubwa huyo anaweza kutimiza miaka 20 akiwa kiongozi mkuu halafu ikaja miaka 30 akiwa kiongozi. Time passes so fast.

Sifa mojawapo ya demokrasia ni ule uwezo wa kuandaa mrithi wa uongozi, ili aje aendeleze yale ambayo tayari yameshafanyika.

CHADEMA wasipokuwa waangalifu wanaweza kujikuta wanatumia neno demokrasia bila ya kuwa na mfano hai wenye kuonyesha kuliheshimu, kuanzia ngazi ya juu kabisa.

Mugabe - Raisi (1980 ........
Museveni - Raisi (1986 .......
Mbowe - Mwenyekiti wa Chama (2004 .....
Jk - Mwenyekiti wa chama (2005 ......

Tafakari
 
Back
Top Bottom