Faru Mweusi03
Senior Member
- Mar 15, 2020
- 176
- 244
Muombe mungu akupe mwisho mwema
Huu mfano hapana hauko relevant. Samia anafanya ziada tu, ameshajitosheleza na ana uhakika kuichumi maisha yake yote.Samia atakua na 65 kufikia 2025,lakini nae bado anahitaji ajira ya urais. Ndio sembuse wewe wa 35?
Usiache kutafuta namna ya kupata pesa...
Muhimu usibweteke tu kutegemea kupata kazi na ukaacha kufanya mishe nyingine ukisubiria kazi yako...
Kwanini usitafute?,inategemea soko kama linahitaji ujuzi na uzoefu wako,we tafuta hata kama umefika 50!!kazi kama za udereva,Ulinzi,ukurugenzi nk,hata ukiwa na miaka 50+unapata tuWakuu kama ni saa ndo inaenda hivyo kuelekea 12 jioni.
Mwaka 2024 natimiza miaka 35. Nauliza kwa umri huu ni busara kweli kuendelea kutafuta ajira au ndo nitakuwa nimeumaliza mwendo kwenye suala zima la kuajiriwa??
Kwakweli nimepambana kwa kila namna. Mpaka ilifika hatua nikaweka dau mtu anishike mkono nimpe fungu lakini wapi!
Kwa kujiajiri pia nimepambana lakini nako bado mambo hayanyooki.
Sikutarajia kama mambo yangekuwa hivi. Kweli maisha ni fumbo kubwa.
Daah mungu mungu atakusaidia mkuuWakuu kama ni saa ndo inaenda hivyo kuelekea 12 jioni.