Professor Heichi
Member
- Aug 19, 2021
- 54
- 78
Wakuu kama ni saa ndo inaenda hivyo kuelekea 12 jioni.
Mwaka 2024 natimiza miaka 35. Nauliza kwa umri huu ni busara kweli kuendelea kutafuta ajira au ndo nitakuwa nimeumaliza mwendo kwenye suala zima la kuajiriwa??
Kwakweli nimepambana kwa kila namna. Mpaka ilifika hatua nikaweka dau mtu anishike mkono nimpe fungu lakini wapi!
Kwa kujiajiri pia nimepambana lakini nako bado mambo hayanyooki.
Sikutarajia kama mambo yangekuwa hivi. Kweli maisha ni fumbo kubwa.