Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 540
- 2,226
Nenda kajiunge na jkt nafasi zake huwa zinatangazwa...Kama utakuwa na sifa utaomba....
N.b
Jifunze historia ya jkt kuanzishwa kwake,malengo yake na mpka Sasa ilipofikia niliwahi kuulizwa Hilo swali nilijibu kwa ufasaha mengine ni kumuomba mungu huko mbeleni.