Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,760
- 3,858
Habari,
Mimi ni kijana wa miaka hyo hapi juu natamani sana kuingia jeshini!
Elimu yangu n bachelor degree!
sasa kwa huo umri naweza pata?
Kama siwezi nifanyaje au nitumie mbinu gani?
NAAMINI LAZIMA KUTAKUA NA EXCEPTION
NB: Najua limit n 20’s