Mwanangu mengine hutakiwi kuyajua, ni mimi na mama yako tu ila tulikua hatufanyi kitu kibaya
sawa baba siulizi tena nilikuwa nasikia mama anasema anasikia raha umpe kila siku raha baba sawa baba yangu
Wewe ni mtoto mzuri, kwani hutaki upate mdogo wako?
umeshajilia mzigo 3years sasa sizitaki mbichi hizi????haya bwanasalaaaaaaaaaaam!
Polen kwa majukumu wana mmu,leo nimeamua kufunguka yaliyomo moyoni mwangu.nina mchumba ambae nipo nae kwa muda wa 3years na mwaka huu ni wa nne,
kiukweli she love me much kwasababu anaweza akaniachia simu yake mara nyng na miaka mitatu nilitumia sana kuwa karibu nae coz tulisoma chuo kimoja,tulikua tunashare mambo meng sana na kila mtu alietufahamu akajua tunapendana.
Kiukweli kwa upande wangu huyu dada hayupo moyon mwangu kabisa niwe mkwel na ilitokea nikawa nae kupitia rafk yangu ambae tulikua tnatania,mi nkasema nampenda yule mtoto 'kiutani'lakini yeye akafikisha ujumbe na mtoto wa watu kaniganda hadi leo.
Naumia sana anaponipigia cmu na kuongea,kiukwel sijawah mwonesha dharau yoyote ila hayupo moyon mwangu,wana mmu najua hapa ni mahali penye ushauri mzuri naombeni mnishauri nifanyeje?
Nakiri nilikosea tangu mwanzo kuwa nae,sasa nifaneje?
nataka baba lakini usitoe mapacha me sitaki alafu awe wa kiume baba
Sawa mwanangu ila me napenda wadogo zako wawe twins....
Salaaaaaaaaaaam!
Polen kwa majukumu wana MMU,leo nimeamua kufunguka yaliyomo moyoni mwangu.Nina mchumba ambae nipo nae kwa muda wa 3years na mwaka huu ni wa nne,
kiukweli she love me much kwasababu anaweza akaniachia simu yake mara nyng na miaka mitatu nilitumia sana kuwa karibu nae coz tulisoma chuo kimoja,tulikua tunashare mambo meng sana na kila mtu alietufahamu akajua tunapendana.
Kiukweli kwa upande wangu huyu dada hayupo moyon mwangu kabisa niwe mkwel na ilitokea nikawa nae kupitia rafk yangu ambae tulikua tnatania,mi nkasema nampenda yule mtoto 'kiutani'lakini yeye akafikisha ujumbe na mtoto wa watu kaniganda hadi leo.
Naumia sana anaponipigia cmu na kuongea,kiukwel sijawah mwonesha dharau yoyote ila hayupo moyon mwangu,wana MMU najua hapa ni mahali penye ushauri mzuri naombeni mnishauri nifanyeje?
Nakiri nilikosea tangu mwanzo kuwa nae,sasa nifaneje?
nitamchukia mmoja dady... huta nidkeza tena dady
wewe ni first born wangu kudeka lazima...jioni nakuchukua tunaenda beach na mama, sawa?
sawa baba na unajua nakupenda baba yangu
naona uko vizuri kwenye picha...keep it up..majukumu yatapungua sasa..
Nakubali mwanangu ndomana nakupa unachotaka
mwambie tu ukweli jamani. dah!! inaumiza sana.
Mwambie tangia mwanzo sijawahi kukupenda basi. Ila ujue utakampenda hatakupenda na utamkumbuka huyu dada.