Miaka 3 katika uchumba ila...

Miaka 3 katika uchumba ila...

Mi sina ushauri hapo,kabla hujatoa kibanzi kwenye jicho la mwenzio,toa boriti kwenye jicho lako principle imetumika hapa.mwisho bwana sam boy unambie unafanyaje ili nijue cha kufanya na mim.
 
kiukweli she love me much kwasababu anaweza akaniachia simu yake mara nyng na miaka mitatu nilitumia sana kuwa karibu nae coz tulisoma chuo kimoja,tulikua tunashare mambo meng sana na kila mtu alietufahamu akajua tunapendana.
Yaani kwa hilo tu ndio unasema anakupenda?

Siku hizi kuna line ya kumuachia mupenzi na kuna zile za kufanyia "kazi"
Unalijua hilo?
 
Mbna unasema ivo na wewe upo ivo au?
Mi sina ushauri hapo,kabla hujatoa kibanzi kwenye jicho la mwenzio,toa boriti kwenye jicho lako principle imetumika hapa.mwisho bwana sam boy unambie unafanyaje ili nijue cha kufanya na mim.
 
Jaribu mkuu anaweza kukuelewa you never know
 
Salaaaaaaaaaaam!

Polen kwa majukumu wana MMU,leo nimeamua kufunguka yaliyomo moyoni mwangu.Nina mchumba ambae nipo nae kwa muda wa 3years na mwaka huu ni wa nne,

kiukweli she love me much kwasababu anaweza akaniachia simu yake mara nyng na miaka mitatu nilitumia sana kuwa karibu nae coz tulisoma chuo kimoja,tulikua tunashare mambo meng sana na kila mtu alietufahamu akajua tunapendana.

Kiukweli kwa upande wangu huyu dada hayupo moyon mwangu kabisa niwe mkwel na ilitokea nikawa nae kupitia rafk yangu ambae tulikua tnatania,mi nkasema nampenda yule mtoto 'kiutani'lakini yeye akafikisha ujumbe na mtoto wa watu kaniganda hadi leo.

Naumia sana anaponipigia cmu na kuongea,kiukwel sijawah mwonesha dharau yoyote ila hayupo moyon mwangu,wana MMU najua hapa ni mahali penye ushauri mzuri naombeni mnishauri nifanyeje?

Nakiri nilikosea tangu mwanzo kuwa nae,sasa nifaneje?
Kwanini uliruhusu miaka yote hiyo kupita wakati unajua fika hayuko moyoni mwako? hivi ungekuwa unafanyiwa wewe hivyo ungefanyaje au ungejisikiaje? three years mnaitana baby mtoto wa watu ameweka matumaini kwako kuwa wew ndo mumewe halafu wew kirahisi rahisi unasema hayuko moyoni ndo nyie mnaosababisha wanawake wasipendeke muda wote wanawafikiria nyie mahusiano mengine yanavunjika kwa ajiri ya watu kama wewe,ushauri wangu najua hata wewe kua element za mapenzi juu yake ila inaonyesha umemchoka tu sasa unataka kubadilisha usimuache huyo mwanamke....over
 
Mnunulie ka vits halafu umueleze ukweli, 3yrs si mchezo halafu usikute mzigo unakula na pengine alishawakataa wengi kwa ajili yako! Halafu jiulize kama ingekuwa ni wewe unafanyiwa ivo, au huyo uliyempata sasa ambaye unahic ndo unampenda aje akumwage utajickiaje, ndo madhala ya shake b4!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
......Wewe si ndo uliesema hauna moyo wa kumpenda mwanamke.?
Salaaaaaaaaaaam!

Polen kwa majukumu wana MMU,leo nimeamua kufunguka yaliyomo moyoni mwangu.Nina mchumba ambae nipo nae kwa muda wa 3years na mwaka huu ni wa nne,

kiukweli she love me much kwasababu anaweza akaniachia simu yake mara nyng na miaka mitatu nilitumia sana kuwa karibu nae coz tulisoma chuo kimoja,tulikua tunashare mambo meng sana na kila mtu alietufahamu akajua tunapendana.

Kiukweli kwa upande wangu huyu dada hayupo moyon mwangu kabisa niwe mkwel na ilitokea nikawa nae kupitia rafk yangu ambae tulikua tnatania,mi nkasema nampenda yule mtoto 'kiutani'lakini yeye akafikisha ujumbe na mtoto wa watu kaniganda hadi leo.

Naumia sana anaponipigia cmu na kuongea,kiukwel sijawah mwonesha dharau yoyote ila hayupo moyon mwangu,wana MMU najua hapa ni mahali penye ushauri mzuri naombeni mnishauri nifanyeje?

Nakiri nilikosea tangu mwanzo kuwa nae,sasa nifaneje?
 
bi dada anatakiwa aujue ukwel mapema najug itamuuma lakn hata kuwa na jinsi
 
hivi unajua umuhimu wa muda kweli kaka?miaka 3 tu hujashituka tu kumwambia ukweli dada wa watu?je unajua ni kiasi gani umemrudisha nyuma huyo dada huenda angekuwa keshampata mwenye mapenzi ya dhati sasa wewe umeweka kauzibe kumbe huna jipya!tena umtake radhi!
 
Sasa kaka ushauriwe nini? You understand very well what you did. Na unajua unalotaka kufanya. Sasa unatakaje? Haumpendi tukushauri umpende? Umepoteza miaka yake mitatu labda angepata mtu mwenye kujali moyo na upendo wake wa dhati. Sometimes tuwe tunaangalia vitu vya kuomba ushari. Jibu ni moja haumpendi umekiri, so take time to tell her the truth aende zake. But remember chozi lake ni la thamani sana. INAUMA SAMA. Jamani wanaume mkipata mwanamke anayejitambua akakupa upendo wote bila kuficha chembe ya upendo, akakujali ulivo bila kujali hali ya kwenu wala yako fikiri mara mbili.
 
yaani huyo ukimuacha na atakavyokulaani dah sipati picha maana kwa ninavowafahamu madada wa chuo
 
Yaani umemchakaza mtoto wa watu halafu leo unamuacha!!!!
Nakuambia utakuja kujuta...mungu hulipa hapahapa akhera mahesabu
 
Rocky,kiukwel nimejitaid sana yaani nimpende ila nimeshndwa,yaani namchukulia kawaida tu,ila n mwanamke wa kawaida lakin Mungu amempendlea ving sana niwe muwazi,ana tabia nzuri sana sijawah kuona,anaheshma na anapga kazi,ila moyo wangu sijui ukoje tu,NAJUA ni wife material hata marafk zangu huwa wananiambia-tatizo n mimi sasa bro
Tatizo lako itakuwa hana mvuto sio?
 
Back
Top Bottom