Miaka 3 katika uchumba ila...

Miaka 3 katika uchumba ila...

Siku na ww utapata atakae chezea feelings zako ndo utajua yaani cku zote hizo unapretend Kumpenda kumbe mzushi tu
 
Ana mapungufu gani mpaka uwe humpendi?
 

Attachments

  • 1391436752382.jpg
    1391436752382.jpg
    58.7 KB · Views: 130
Tatizo anaeza akajidhuru,hofu yangu ndio hiyo,sipendi afe kisa mimi
Inakuumiza nini wewe wakati wewe humpendi ila yeye anakupenda kwa dhati
Wewe huna mpango nae ila yeye anakupenda tell her mapema ili asijisumbue kukupenda wakati huna mpango nae wala humpendi
 
Tatizo anaeza akajidhuru,hofu yangu ndio hiyo,sipendi afe kisa mimi


Kipi kinachokufanya usimpende au usidevelop mapenzi nae kwa miaka yote mitatu
Kwa nini umeshindwa kabisa kumpenda au kuwa na mapenzi naye kwa kipindi chote hicho
Kwani ana kasoro gani au wewe una nini ambacho kimekufanya msipendane
 
Unampotezea muda. Bora umwambie mapema atafute ustaarabu mwingine
 
yani we kinega kweli miaka mitatu uvutiwi nae leo ndo unataka umwache ... duh aisee mwambie mapema usizidi mpotezea mda na kumuumiza jamani
 
Naombeni mnishauri ndugu zangu napenda niwe mkweli sasa.

sasa wewe unataka wakushauri nn zaidi? mbona uko kama unajua nn cha kufanya? emb kuwa muwazi kama kweli humpend na kama unamuonea huruma basi muoe.
 
Rocky,kiukwel nimejitaid sana yaani nimpende ila nimeshndwa,yaani namchukulia kawaida tu,ila n mwanamke wa kawaida lakin Mungu amempendlea ving sana niwe muwazi,ana tabia nzuri sana sijawah kuona,anaheshma na anapga kazi,ila moyo wangu sijui ukoje tu,NAJUA ni wife material hata marafk zangu huwa wananiambia-tatizo n mimi sasa bro
Kipi kinachokufanya usimpende au usidevelop mapenzi nae kwa miaka yote mitatu
Kwa nini umeshindwa kabisa kumpenda au kuwa na mapenzi naye kwa kipindi chote hicho
Kwani ana kasoro gani au wewe una nini ambacho kimekufanya msipendane
 
Im sorry wapendwa nahsi vbya ila ntafanya jambo...
 
Rocky,kiukwel nimejitaid sana yaani nimpende ila nimeshndwa,yaani namchukulia kawaida tu,ila n mwanamke wa kawaida lakin Mungu amempendlea ving sana niwe muwazi,ana tabia nzuri sana sijawah kuona,anaheshma na anapga kazi,ila moyo wangu sijui ukoje tu,NAJUA ni wife material hata marafk zangu huwa wananiambia-tatizo n mimi sasa bro


Ngoje siku wenye kujua kupenda watakapomchukua na ukutane nae amebeba mimba ya mwanaume mwenzio na anabembelezwa na na kuenziwa ndio utagundua kuwa ulifanya makosa kutokumpenda
 
Usifanye utani kwenye jambo la msing mr

wewe ukuona unafanya utani miaka mitatu umeshamvuruga binti wa watu na kugonga sasa hivi ndo unatakumwacha ... sasa we ndo uache utani na hisia za watu
 
mazoezi miaka mitatu jamani si sawa kabisa ni bora akamwambia hyu binti wa watu ili asizidi kumpotezea mda

Huyo mwanamke inaonyesha alijitunza kwa kutegemea huyu ndiye mmewe na hakutaka kumpiga mizinga kumbe jamaa alikuwa anasuuza rungu
 
Back
Top Bottom