Miaka 3 katika uchumba ila...

Miaka 3 katika uchumba ila...

Da!!! ni kweli makosa yamefanyika, hata kama ni miaka mitatu ni mingi ukweli wako kutoka moyoni kuwa humpendi, na chanzo ni kwamba tangu mwanzo wewe ulikuwa unaleta utani yeye yuko seriuos. Inasikitisha na ni ngumu kushauri haraka.
Kwa maoni yangu mim inashauriwa Mwanaume uoe Mtu ulieye mpenda toka moyoni kiukweli, Hamna Jinsi tubu kwa mwenyezi Mungu akupatie hekima uachane nae tu kwa amani bila kumsababishia madhara. USIRUDIE TENA tafuta unaempenda UOE. NI HERI KUVUNJA UCHUMA KULIKO KUVUNJA NDOA, MAUMIVU YA KUVUNJA UCHUMBA KAMWE HAYAWEZI KUFIKIA MAUMIVU YA KUVUNJA NDOA KWA GROUNDS ZA WEWE KUTOMPENDA. Itabidi aelewe na utambue umekosea HAKUNA JINSI NA SINA SABABU YA KUKULAUMU MAANA MAKOSA YAMESHAFANYIKA KAKA.

UWE MWANGALIFU CHIEF< MICHEZO HIYO NI HATARI< USIRUDIE TENA
 
Sasa muache uje ukutane wenye mbawa! kaanaye huyo umeishamfahamu kuliko kuanza moja!
 
Wanaume kama wewe mko wengi sana

Miaka mitatu yote ulikuwa unacheza na hisia zake tu!!Hebu jiweke kwenye nafasi yake huyo binti na kuvaa viatu vyake.Je,ungependa na wewe ufanyiwe hivyo??

Kuwa tayari kulipia hiyo dhambi,COWARD!!
 
Back
Top Bottom