kijani11
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 8,415
- 9,303
Sasa kaka ushauriwe nini? You understand very well what you did. Na unajua unalotaka kufanya. Sasa unatakaje? Haumpendi tukushauri umpende? Umepoteza miaka yake mitatu labda angepata mtu mwenye kujali moyo na upendo wake wa dhati. Sometimes tuwe tunaangalia vitu vya kuomba ushari. Jibu ni moja haumpendi umekiri, so take time to tell her the truth aende zake. But remember chozi lake ni la thamani sana. INAUMA SAMA. Jamani wanaume mkipata mwanamke anayejitambua akakupa upendo wote bila kuficha chembe ya upendo, akakujali ulivo bila kujali hali ya kwenu wala yako fikiri mara mbili.
Labda anataka tumpe mistari ya kumpigia kibuti ambayo itakuwa sio kisu(mikali) kwa mdada.