Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Khaaa...!!I am sweety mangi i am sweet mangi sweet mangi??
Khaaa...!!I am sweety mangi i am sweet mangi sweet mangi??
Jirani mweleze basiWallah jirani kapatikana!! General Mangi njoo huku utoe wajihi wako sijui wasifu.
😛Wewe napenda nikufahamu wewe ni mtu waaina gani mrefu mweupe au mweusi hilo tu wala sitaki kingine.
Woyoooo katoto kazuri kaza huyo babu anayeona wivu akafie mbele huko kaza niko nyuma yakoI am sweety mangi i am sweet mangi sweet mangi??
hakuna ubaya na Wazazi wengi wenye nyumba mjini kama makumbusho, kinondoni, magomeni, sinza hawataki watoto wao wakapange wanataka wakitoka pale wawe wamejenga kama wa kiume au wa kike awe ameolewa, wana msemo wao "wanaotoka kigoma wapange mjini na wewe wa hapa hapa mjini ukapange? rafiki zangu asilimia kubwa wanaishi makwao na wana viwanja wengine ujenzi wameanza na usafiri na wao ndo wanalisha familia ila wako makwao.hivi wadau inakuaje kama mtu unakaa na nyumbani na wazazi au mzazi wako lakini unakazi yako fresh tu una supply basic needs za nyumbani kuna ubaya hapoo!
utaratibu huu mimi nauona mzuri lakini kibongobongo watakuona kama umekaa kizembe au huna malengohakuna ubaya na Wazazi wengi wenye nyumba mjini kama makumbusho, kinondoni, magomeni, sinza hawataki watoto wao wakapange wanataka wakitoka pale wawe wamejenga kama wa kiume au wa kike awe ameolewa, wana msemo wao "wanaotoka kigoma wapange mjini na wewe wa hapa hapa mjini ukapange? rafiki zangu asilimia kubwa wanaishi makwao na wana viwanja wengine ujenzi wameanza na usafiri na wao ndo wanalisha familia ila wako makwao.
haha! kumbe walianza 35yrs, itakuwa mtoa mada alisota sana home sasa ndo kalipatia life kwaiyo anaanza kuwatupia madogo wenzake,Juzi mmesema 35yrs leo 28yrs...mkifika 22yrs mnishtue
wewe vipi unaishi na wazazi au umepanga kishikaji tu!hakuna ubaya na Wazazi wengi wenye nyumba mjini kama makumbusho, kinondoni, magomeni, sinza hawataki watoto wao wakapange wanataka wakitoka pale wawe wamejenga kama wa kiume au wa kike awe ameolewa, wana msemo wao "wanaotoka kigoma wapange mjini na wewe wa hapa hapa mjini ukapange? rafiki zangu asilimia kubwa wanaishi makwao na wana viwanja wengine ujenzi wameanza na usafiri na wao ndo wanalisha familia ila wako makwao.
Asantee mpendwa nitajitahidiWoyoooo katoto kazuri kaza huyo babu anayeona wivu akafie mbele huko kaza niko nyuma yako
I am sweet mangii natamani nikufahamu im curiousIn
😛
Unahisi unanijua?I am sweet mangii natamani nikufahamu im curious
Nope ila natamani nikujueUnahisi unanijua?
KaribuNope ila natamani nikujue
AsanteeKaribu