Miaka 27 huna mtoto? Jichunguze


BILA SHAKA WEWE NI MCHAWI!

NA HAKUNA WA KUBISHA HATA MMOJA HUMU!
 
Mkuu mimi sijasoma international school ila waliosoma international school tulionana wote pale Udsm chuo na wote tunafanya kazi na wengine nimewazidi maisha kabisa
 
Nyie mnaochelewa kuzaa ndio hata uzazi wa mpango hamfuati,mnazaa watoto wamepangana kama ngazi kwa sababu unakuwa na haraka ya kuzaa kutokana na kwamba umri unakuwa umekimbia
 
Kuzaa zaa ovyo sio dili siku hizi wewe. Wengine miaka 27 wanakuwa bado maisha hayaeleweki Na wanategemea wazazi kwa kila kitu. Atazaaje??
Miaka 27 bado unategemea wazazi? Basi wewe umepungukiwa akili,miaka hiyo watu wana nyumba ww ndio unakaa kwa wazazi
 
Tatizo maisha magumu mkuu. Mimi nilikua tayari kuzaa hata nikiwa na miaka 18 ili niwakuze wanangu nikiwa bado kijana. Maisha yamefanya watu tumegonga miaka 38 bila mke wala mtoto.
Dah, aisee! Jilipue tu, kwa hiyo maisha yakoendelea kuwa magumu utafanyaje?
 
akiwa na watoto lakini haeleweki mtasema..wabongo bwana
 


INAHUSU???????????
 

Kila mtu ana mipango yake mkuu humu duniani na wingi wa miaka sio kigezo cha kukufanya uwe na mtoto. Umuhimu wa mtu hauthaminiki kwenye jamii etii sababu tuu una mtoto au laa. kuna watu wamewahi kuzaa lakini watoto wao wanaishi kama yatima. Everyone can be a father but it takes someone special to be a daddy and vice versa is true
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…