Miaka 26 tangu kuanzishwa kwa Mirembe Dodoma

Miaka 26 tangu kuanzishwa kwa Mirembe Dodoma

Kwa sasa hivi huduma zake zinahitajika maradufu hivi wangefanya utaratibu wa upanuzi na kuongeza matawi......
 
Hiyo miaka 26 ni ya nini mkuu mbona sijaelewa? Hii hospitali tangu nikiwa mdogo ninaisikia na 1983 niliwahi kupata matibabu kule japo si ya akili, sasa jaribu kufafanua.
Hata mie nilitaka kuuliza maana tangu nipo mdogo nasikia hospitali ya Milembe kuhusu magonjwa ya akili...sasa hili la miaka 26 naona kama ni michache
 
INASAIDIA sana hiyo hospitali ya Mirembe ushauri wangu wafungue tawi kwenye ofisi ya chadema mkoa wa ARUSHA HALI tete kule ARUSHA wasogeze huduma karibu na waathirika.USHAHIDI HUU HAPA

%255BUNSET%255D
Mhh!
 
Idadi inaonesha kila siku inazidi kuongezeka, sijajua tatizo ni utumiaji madawa ya kulevywa, nguvu za giza, ugumu wa maisha e.t.c, ila wahanga yaonesha ni vijana kwa %kubwa.
 
Sijajua kwa miaka ya nyuma mkuu ila kwasasa ni hospitali ya kawaida na inasimamiwa na Madaktari wa kawaida tu ila Magereza wanakitengo(gereza) chao cha wafugwa vichaa na wenye ukoma.
Iko hivi. Mirembe wana hospitali ya kutibu wagonjwa wa kawaida na wenye magonjwa ya akili, hii wengi wanaifahamu km ndo hospitali ya mirembe na imepakana na mitaa ya mlezi, hazina, kikuyu na magereza. Pia Kama Mirembe hospital wana Isanga Instution inajulikana kama Broadmoor ambayo imepakana na eneo la Isanga prison, huku kuna ngome/ magereza mawili (kwa wanawake na wanaume) yanayohifadhi wale vichaa wanaoonekana ni hatari kwa jamii au wale waliokwisha wahi kuua au kujeruhi wananchi wa kawaida. Na hizi ngome zinamilikiwa na kuendeshwa na Mirembe hospital hakuna hata askari magereza anayelinda huko. Isanga prison ni jela/gereza linalojitegemea kabisa japo nyumba za maaskari zimepakana na nyumba za wauguzi wa Broadmoor.
 
Changamoto ni wao kumwachia mgonjwa akaja kuchukua fomu na sasa ni kiongozi mkubwa tu kwenye hii nchi na anayoyafanya nahisi kumbukumbu zinamtokaga kidogo bt very soon anarudisha makazi uko idodomya
 
[emoji1][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ndio mkuu japo najua una maana nyingine
Wakichoka Arusha wahamie kwa wazungu kwani wazungu hili ni jambo la kawaida kama kukaa na kichupi baba yako yuko pembeni. Tusichague mambo ya ku copy sisi tu copy kila kitu

INASAIDIA sana hiyo hospitali ya Mirembe ushauri wangu wafungue tawi kwenye ofisi ya chadema mkoa wa ARUSHA HALI tete kule ARUSHA wasogeze huduma karibu na waathirika.USHAHIDI HUU HAPA

%255BUNSET%255D
 
Sijajua kwa miaka ya nyuma mkuu ila kwasasa ni hospitali ya kawaida na inasimamiwa na Madaktari wa kawaida tu ila Magereza wanakitengo(gereza) chao cha wafugwa vichaa na wenye ukoma.
Mkuu mbona unazidi kutupeleka siko mkuu, hospitali ya kawaida maana yake nini? Hii ni kwa ajili ya wenye matatizo ya akili matibabu kwa wengine ni kama msaada na ndio maana wengi wanashauri si wa kuwategemea sana hao madaktari maana wao wamebobea kwa wagonjwa wao na wengi tunapenda kwenda kule kwa huduma zao ni nzuri
 
Acha kutuongopea kijana, nimeishi Dom kwa muda mrefu sana. Hii hospitali ni ya muda mrefu sana aisee,kwanza majengo yake yanafanana na gereza kuu la Isanga, na yenyewe inaitwa Mirembe hospital Isanga Institution. Hizi taasisi zote zimejengwa na wakoloni tena wajerumani. Leo uje utuambie ni miaka 26. Inaonekana hujawahi hata kufika maeneo ya Isanga.
Uko sahihi kabisa mkuu
 
Mimi nilikuwa mnaishi Dodoma naifahamu tangu miaka ya 70 na uncle wangu alikuwa anafanya kazi hapo. Ipo Isanga
Nashangaa, mimi nilisoma Amani Primary School 1966 (Amani RC kabla ya Azimio la Arusha 1967) na hiyo hospitali ya Mirembe ilikuwepo wakati huo.
 
Hii hosptitali imesaidia sana ndo hospitali ambayo madaktari wanajituma sana toka mwanzon.Hongera yao
 
hapo dodoma ndio makao makuu ya ccm,nadhani wamesogelea huduma ya milembe,wametambua matatizo yao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
 
INASAIDIA sana hiyo hospitali ya Mirembe ushauri wangu wafungue tawi kwenye ofisi ya chadema mkoa wa ARUSHA HALI tete kule ARUSHA wasogeze huduma karibu na waathirika.USHAHIDI HUU HAPA

%255BUNSET%255D
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana...asante kwa kunifurahisha huku khaaa
 
Niliwahi kupitia hapo....kwa kwl ukichukua masters yako hapo hutajuta kwenye soko la ajira...[emoji41]
 
Back
Top Bottom