Miaka 26 tangu kuanzishwa kwa Mirembe Dodoma

Miaka 26 tangu kuanzishwa kwa Mirembe Dodoma

Habari wakuu naomba nitangulie kusema mimi sina utaalamu wowote wa maswala ya kitabibu lakini nakaa Mkoa wa Dodoma.

Leo taasisi inahudia watu wenye matatizo ya akili yaani MIREMBE HOSPITAL inatimiza miaka 26 ya huduma,sijui changamoto zake na mafanikio yake lakini kikubwa binafsi nafahamu inasaidia watu wengi kutoka mikoani na Nchi za jirani.

Naomba tuwapongeze kwa Huduma wahusika na kama kuna changamoto kwa anayejua aseme tuzijue wote....

Naomba kiwasilisha
bila shaka wewe ni mgonjwa uliyeanza kupona.
 
Naomba radhi wakati naandika uzi huu kwa bahati mbaya sikuwa nimemalizia vizuri ufafanuzi,huduma nilizokuwa nazungumzia ni za Kisasa na wanaboresha kila siku mfano huduma za kadi za kisasa kwaajili ya matibabu(credit card)na wakati mwingine unaweza kukosa X-ray Dodoma nzima lakini MIREMBE utapata!
 
Ninecheka Sana!
INASAIDIA sana hiyo hospitali ya Mirembe ushauri wangu wafungue tawi kwenye ofisi ya chadema mkoa wa ARUSHA HALI tete kule ARUSHA wasogeze huduma karibu na waathirika.USHAHIDI HUU HAPA

%255BUNSET%255D
 
Acha kutuongopea kijana, nimeishi Dom kwa muda mrefu sana. Hii hospitali ni ya muda mrefu sana aisee,kwanza majengo yake yanafanana na gereza kuu la Isanga, na yenyewe inaitwa Mirembe hospital Isanga Institution. Hizi taasisi zote zimejengwa na wakoloni tena wajerumani. Leo uje utuambie ni miaka 26. Inaonekana hujawahi hata kufika maeneo ya Isanga.
Ya siku nyingi sana mijengo ya mawe old fashion kabisa!
 
Hiyo miaka 26 ni ya nini mkuu mbona sijaelewa? Hii hospitali tangu nikiwa mdogo ninaisikia na 1983 niliwahi kupata matibabu kule japo si ya akili, sasa jaribu kufafanua.
Ulijuaje kama matibabu si ya ugonjwa wa akili?
 
Back
Top Bottom