Political Jurist
Senior Member
- Sep 6, 2021
- 143
- 120
Ilisemekana kuwa Marehemu alibambikiwa na kuwa Biological father ni Profesa fulani hivi mpole mpole kutoka Nyanda za Juu.Kuna wakati kumbukumbu hii miaka ya nyuma ilileta mtafaruku humu, baada ya Tangazo la familia kuwataja watoto wa marehemu, huku mtoto mmoja akiwekwa kando, kwa hoja alikuwa ni mtoto wa nje!. Na Mungu alivyo mkubwa, lile jiwe Walilolikataa waashi wa familia, likafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!. Leo anayeliishi jina la Mnauye ndie yule aliyekataliwa, halafu hao watoto wa ndani, are nobodies!.
P
Jiwe alizungukwa na wanafiq wengi sanaJiwe huko aliko anateseka tu
Huyu mzee hakuacha hata kibanda,hakuwahi kumiliki nyumba iwe duniani au mbinguni,siku anakufa tulikosa sehemu ya kufunga maturubai na kufanyia msiba tukaenda nyumbani kwa makambaRIP
Nakumbuka msiba ulifanyikia kwa mzee Makamba Dar es salaam!
Kuna wakati kumbukumbu hii miaka ya nyuma ilileta mtafaruku humu, baada ya Tangazo la familia kuwataja watoto wa marehemu, huku mtoto mmoja akiwekwa kando, kwa hoja alikuwa ni mtoto wa nje!. Na Mungu alivyo mkubwa, lile jiwe Walilolikataa waashi wa familia, likafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!. Leo anayeliishi jina la Mnauye ndie yule aliyekataliwa, halafu hao watoto wa ndani, are nobodies!.
P
Ndio maana Nape anamuita mzee Makamba " baba"Huyu mzee hakuacha hata kibanda,hakuwahi kumiliki nyumba iwe duniani au mbinguni,siku anakufa tulikosa sehemu ya kufunga maturubai na kufanyia msiba tukaenda nyumbani kwa makamba
Hayo mambo ya kubambikiwa sio mambo!. Hata Chief Burito, ilisemekana alibambikiwa!. Bi mdogo alitoroshwa na mchunga ng'ombe wao wa Kitusi, akatorokea Usukumani. Chifu alipomfuata akaambiwa it's too late, tayari kuna kiumbe!. Chifu hakujali akabeba mzigo wake na kiumbe chake. Hivyo kichanga kikazaliwa kwa Chifu. Hata yule Blaza, inasemekana lile jina ni la baba wa kufikia!.Ilisemekana kuwa Marehemu alibambikiwa na kuwa Biological father ni Profesa fulani hivi mpole mpole kutoka Nyanda za Juu.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Hivyo ndivyo walivyo Wazalendo wote wa Nyerere type, hata Nyerere ile nyumba Butiama amefanya kujengewa tuu na JKT!.Huyu mzee hakuacha hata kibanda,hakuwahi kumiliki nyumba iwe duniani au mbinguni,siku anakufa tulikosa sehemu ya kufunga maturubai na kufanyia msiba tukaenda nyumbani kwa makamba
Kwa hiyo ule usemi kitanda hakizai haramu una mashiko. Kazi iendelee.Hayo mambo ya kubambikiwa sio mambo!. Hata Chief Burito, ilisemekana alibambikiwa!. Bi mdogo alitoroshwa na mchunga ng'ombe wao wa Kitusi, akatorokea Usukumani. Chifu alipomfuata akaambiwa it's too late, tayari kuna kiumbe!. Chifu hakujali akabeba mzigo wake na kiumbe chake. Hivyo kichanga kikazaliwa kwa Chifu. Hata yule Blaza, inasemekana lile jina ni la baba wa kufikia!.
P
Ila huyu subject wa leo alizidisha na tatizo ilikuwa [emoji160] na [emoji485].Hivyo ndivyo walivyo Wazalendo wote wa Nyerere type, hata Nyerere ile nyumba Butiama amefanya kujengewa tuu na JKT!.
P
Kiukweli kule CCM watoto ni wa mama!Hayo mambo ya kubambikiwa sio mambo!. Hata Chief Burito, ilisemekana alibambikiwa!. Bi mdogo alitoroshwa na mchunga ng'ombe wao wa Kitusi, akatorokea Usukumani. Chifu alipomfuata akaambiwa it's too late, tayari kuna kiumbe!. Chifu hakujali akabeba mzigo wake na kiumbe chake. Hivyo kichanga kikazaliwa kwa Chifu. Hata yule Blaza, inasemekana lile jina ni la baba wa kufikia!.
P
Yule mzee aliupiga mwingi kuliko yoyote awaye....yeye ni siasa, kuimba na kuimbiwa na yanayoendana nayoRIP
Nakumbuka msiba ulifanyikia kwa mzee Makamba Dar es salaam!
Umekisoma kitabu cha mzee Mwinyi " Ruksa"Ila huyu subject wa leo alizidisha na tatizo ilikuwa [emoji160] na [emoji485].
Bwana wee! Ukisikia busara (kudra) za Mungu, ndiyo hizi Sasa.Kuna wakati kumbukumbu hii miaka ya nyuma ilileta mtafaruku humu, baada ya Tangazo la familia kuwataja watoto wa marehemu, huku mtoto mmoja akiwekwa kando, kwa hoja alikuwa ni mtoto wa nje!. Na Mungu alivyo mkubwa, lile jiwe Walilolikataa waashi wa familia, likafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!. Leo anayeliishi jina la Mnauye ndie yule aliyekataliwa, halafu hao watoto wa ndani, are nobodies!.
P
Mayala blaza yupi tena?Hayo mambo ya kubambikiwa sio mambo!. Hata Chief Burito, ilisemekana alibambikiwa!. Bi mdogo alitoroshwa na mchunga ng'ombe wao wa Kitusi, akatorokea Usukumani. Chifu alipomfuata akaambiwa it's too late, tayari kuna kiumbe!. Chifu hakujali akabeba mzigo wake na kiumbe chake. Hivyo kichanga kikazaliwa kwa Chifu. Hata yule Blaza, inasemekana lile jina ni la baba wa kufikia!.
P
Mzee naye fix sana usimuamini sana, wahuni siyo watu ujue.Umekisoma kitabu cha mzee Mwinyi " Ruksa"
Wakati anajiuzulu uwaziri alikuwa na matofali tu nayo akadhulumiwa!