Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,305
Hata wewe utachelewa sanaMkuu umechelewa sana miaka yote hiyo ungejiajiri ungekuwa mbali sana wala usingekuja na uzi wako wa kulalamika hapa. Mimi nimeajiliwa mwaka 2015 na nina mpango wa kutoendelea na ajira baada ya miaka kumi.