Miaka 20 bila promotion, Wanataka niwe mzalendo!

Miaka 20 bila promotion, Wanataka niwe mzalendo!

mkuu kupanda madaraja na mshahara kunategemea na bajeti ambayo hairuhusu kwa sasa
Nafikir hujamuelewa mleta maada,ni kwamba alishapandishwa kwa mujibu wa bajeti ya mwaka 2015/2016.Kwa roho mby isiyo na kifani huyu anayetaka tumuombee alisitisha nyongeza ya mshahara kinyume na taratb kwa kisingizio cha uhakiki kumbe ulikua uhakik usio na nia njema
 
Heading yako inapingana na maelezo yako. Pili kama umefanya kazi miaka 27 basi umepitia hopefully awamu tatu za uongozi. Kupandishwa madaraja kuna vigezo pia. Unesema ulipandishwa bila kutuambia uliajiriwa kwa daraja gani, ukapandishwa hadi daraja gani. Kuna fani kama wahasibu ukishafikia daraja fulani huwezi kupandishwa tena bila cpa. Sasa wewe kuwa wazi tu tujue. Kwa sasa kama opras inafanya kazi unapandishwa kazi kwa kuangalia sio kigezo cha miaka tu bali performance based. Sasa unaweza kujipima mwenyewe.
Umejibu kimazoea!!!Wew zee la kitaaa tulia hujui kinachoendelea awamu hii ni uhuni mtupu mpk aibu!!!
 
Hakuna kilaza anapewa promotion!
Closed minded guy naona unatoa ushuzi na lisambwanda lako.Wateule na mteua mmekua mijitu ya ajabu mliojaa ubinafs kwakua nyie mnaenjoy mamishahara makubwa huku mkivimba mishavu mithili ya pig
 
Malezi ya watumishi wa umma kwa sasa Kama ya mama was kambo. Yeah
 
Habari wanajamvi!

Mimi ni mtumishi wa umma, huu ni mwaka wangu wa 27 kazini.Katika kipindi chote hicho nimekuwa nikifanya kazi kwa bidii na maarifa bila kujali mwajiri wangu hatimizi majukumu yake ipasavyo.

Miaka 10 ya mwanzo nilifanya kazi bila kupanda daraja,mpaka ikafikia muda watu walio ajiriwa nyuma yangu wakawa na mikubwa kuliko mimi.

Mwaka 2001 nikapanda daraja kwa mara ya kwanza. Mwaka 2003 nikapanda tena, na mwaka 2007 nikapanda tena. Baada ya hapo sikupanda daraja mpaka hii leo, yaani miaka 10 mingine bila kupanda daraja.Juzijuzi tulipanda madaraja watumishi wengi na mimi nikiwemo, Lakini tulipata mshahara mpya mwezi mmoja tu Rais akasitisha madaraja kwa kisingizio kuhakiki watumishi wa umma. Mpaka leo hii, miezi 7 baada ya uhakiki kwisha mishahara haijarudishwa.

Nimepanga kustaafu at 55. Nimechoka kutumika kama male sheath! Halafu mtu anaomba tumuombee wakati yeye hatutakii mema. Mungu ambariki aendelee kututawala apendavyo ! iko siku Mungu atatulipa na kutufariji.
Achia hiyo nafasi kuna wengi wanao isubiri katafute kazi binafsi au kaajiriwe private sector huna sababu ya kulalamika humu..mfuate mwajiri wako ukamwambie nyie ndio wasaliti wa nchi.
 
I have been thinking about the nature of current public servants and their ethics and values. Je wanatambua taratibu za kuzungumzia maslahi ya mtumishi na kudai haki za mtumishi kweli. Nakumbuka baba yangu na mama yangu walikuwa watumishi lakini ilikuwa ngumu kujua siri za utumishi wao.
 
Mkuu,uzalendo ni Imani haihusiani na madaraja ya kazi. Kama umethibitishwa kazini na unaamini unastahili hayo madaraja muone afisa utumishi muelekezane,figisu nyingi huwa zinaanzia huko chini wala siyo hazina au kwa mwajiri.
 
Hakuna hill ukishanza kulipwa mshahara maana yake uko katika payroll. Kwani hiyo ofisi hamtumii Lawson
Achia hiyo nafasi kuna wengi wanao isubiri katafute kazi binafsi au kaajiriwe private sector huna sababu ya kulalamika humu..mfuate mwajiri wako ukamwambie nyie ndio wasaliti wa nchi.
Nina uhakika asilimia mia utakufa masikini.Mimi nasema hivi kwanza kwasababu nina uwezo wa kujiajiri pili naweza kugeuza mali nilizo nazo kuwa utajiri wa kutumia maisha yangu yote.
 
Nina uhakika asilimia mia utakufa masikini.Mimi nasema hivi kwanza kwasababu nina uwezo wa kujiajiri pili naweza kugeuza mali nilizo nazo kuwa utajiri wa kutumia maisha yangu yote.
So why makelele mitandaoni kama unaweza kujiajiri. Kwani ni tatizo kufa maskini.wewe utakaye kufa tajiri unaenda na utajiri wako kaburini. Kwa kweli magu awafukuze tuu watu kama ww wanao ongea pumba
 
Mnazingua sana nyie wazee sasa unakuta wewe unakidiploma chako hujajiupdate umeshakua senior kwenye nafasi yako umeshastaafu wamekuonea huruma tuu ukaongezewa muda wa miama 2 kazini bado unalalamika inataka promotion sasa mnataka sisi hr tutanyaje nikupe cheo cha mtu mwenye masters akha
 
Kama ulianza kazi ukiwa na miaka 25 maana yake kwa sasa una miaka 52 sio?3 years to Go ustaafu tu mkuu,hakuna namna.
 
Mkuu umechelewa sana miaka yote hiyo ungejiajiri ungekuwa mbali sana wala usingekuja na uzi wako wa kulalamika hapa. Mimi nimeajiliwa mwaka 2015 na nina mpango wa kutoendelea na ajira baada ya miaka kumi.
Hahah mpango?Na wenzako wanasemaga hivyo hivyo mpk wanastaafu aisee.
 
I have been thinking about the nature of current public servants and their ethics and values. Je wanatambua taratibu za kuzungumzia maslahi ya mtumishi na kudai haki za mtumishi kweli. Nakumbuka baba yangu na mama yangu walikuwa watumishi lakini ilikuwa ngumu kujua siri za utumishi wao.
Sasa wangekwambia nini wkt hali yao ilikua inajieleza yenyewe.Ni mwendo wa kukaza Mkanda Mwanzo mwisho.
 
Hii ni hali ya watumishi wengi wa umma.
Kiukweli serikali lazima ijitathimini sana inavyoishi na watumishi wake. Unajua hata kama ingesitisha madaraja lakini kila mwezi wangekuwa wanatoa annual increments kwa watumishi ingepunguza machungu.

Mimi ni mwalimu kuna wakati unaingia darasani unafundisha ukikumbuka tu ni mwaka wa sita unaenda huna increment wala daraja chaki inakuanguka mkononi.
Huwa najifikiriaga sana, hivi ufanisi kwenye mazingira kama hayo wa nini? Ufanye kwa bidii ili ugundue nini?

Ila haichelewi utamsikia MTU analopoka kama huwezi 'acha kazi'. Hizi ni kati ya kauli za kishenzi kabisa kutolewa na muungwana.
Tunajua hatulipwi appropriately kwani you can buy human labour. Huwa nakumbuka neno moja hivi; kama na mwalimu wangu alienifundisha pale kilosa P/S baada kwiro S/S halafu Ilonga ttc baadae saut hadi mlimani (udsm) angekuwa amelegea ningeweza kufundisha?

Nikilikumbuka hilo na neno tulilofundishwa na baba askofu akisisitiza, ukristo ni kuwa, kamwe usitende jambo lolote kwa MTU ambalo wewe hutaki kutendewa na aliongeze kuwa, upendo hustiri wingi wa dhambi. Hapo mie huku kwisha kabisa unainama unaokota chaki.
Kwa kuwa upo class, inabidi uweke kichekesho cha methali kuzuga watoto wasielewe kuwa unafrastrutioni zako commonly; mzungu anachugulia dirishani........ Au;
akunyimae mbaazi anakupunguzia .......... wanafunzi wanacheka umeshaua sooo ila kwa mwalimu ni joki na mkuki wa moyo.

Serikali hasa hii inamausanii ya kishamba sana!!!
Umeongea kwa uchungu sana, pole ndg yangu.
Binafsi nimekataa utumwa katakata.
Inahitaji ujasiri kwani kabla hujaicha ajira utajiuliza huko niendako na mambo yakigoma itakuwaje?

Woga unawagharimu watanzania wengi kubaki utumwani kama wewe.

Mhitimu wa chuo kikuuu unalia?
Unavumilia shida hivi???

Ufike wakati tufanye maamuzi magumu.
 
Back
Top Bottom