Miaka 20 bila promotion, Wanataka niwe mzalendo!

Heading yako inapingana na maelezo yako. Pili kama umefanya kazi miaka 27 basi umepitia hopefully awamu tatu za uongozi. Kupandishwa madaraja kuna vigezo pia. Unesema ulipandishwa bila kutuambia uliajiriwa kwa daraja gani, ukapandishwa hadi daraja gani. Kuna fani kama wahasibu ukishafikia daraja fulani huwezi kupandishwa tena bila cpa. Sasa wewe kuwa wazi tu tujue. Kwa sasa kama opras inafanya kazi unapandishwa kazi kwa kuangalia sio kigezo cha miaka tu bali performance based. Sasa unaweza kujipima mwenyewe.
Sema tu yatakukuta in one way or another
 
Hakuna kilaza anapewa promotion!
Wewe ni mjinga wa kudumu! Mimi pamoja na yote ambayo serikali imetukatili sijawahi kukaa nijipendekeze. For your information nimetusua kinoma. In short am rich.Serikali imeniibia madaraja, sawa mimi nimejiongeza.
 
Na katika hayo unalilia je ulishawahi kujiendeleza kielinu pia?

Hizo promotion mnabaki kwa kazi ile ile au mnahamia nyingine? Na vyeo navyo mnapanda bila interview?

Natamani kujua mnafanyaje kazi na hayo yapoje.
 
serikalini kuna vituko sana... watu wanapanda vyeo bila kuomba nafasi wala kufanya interview eti.. wenyewe wanaita madaraja..

mtu majukumu ni yale yale ila anapanda cheo eti

S
Heading yako inapingana na maelezo yako. Pili kama umefanya kazi miaka 27 basi umepitia hopefully awamu tatu za uongozi. Kupandishwa madaraja kuna vigezo pia. Unesema ulipandishwa bila kutuambia uliajiriwa kwa daraja gani, ukapandishwa hadi daraja gani. Kuna fani kama wahasibu ukishafikia daraja fulani huwezi kupandishwa tena bila cpa. Sasa wewe kuwa wazi tu tujue. Kwa sasa kama opras inafanya kazi unapandishwa kazi kwa kuangalia sio kigezo cha miaka tu bali performance based. Sasa unaweza kujipima mwenyewe.
Soma vizuri utaelewa. Mimi nimepandishwa daraja, na kulipwa mshara wa daraja jipya mwezi mmoja. Kisha Rais akasitisha kwa maelezo kuwa tuhakikiwe kwanza kama watumishi halali, uhakiki umekwisha, huu ni mwezi wa Sita baada ya uhakiki kukamilika, mbona madaraja haturudishiwi? Sasa ni jino kwa jino. Zuia madarajanitaiba muda nifanye mambo yangu.
 
H

Mambo ya ngoswe mwachie ngoswe! Ila kwa kukusaidia kasome standing orders za serikali ya JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA ! Hapo utapata uelewa wa kinachoongelewa.
 
serikalini kuna vituko sana... watu wanapanda vyeo bila kuomba nafasi wala kufanya interview eti.. wenyewe wanaita madaraja..

mtu majukumu ni yale yale ila anapanda cheo eti

Kumbe ndio hivyo basi hilo ni janga na ni tatizo kubwa..linalobidi libadilishwe.. wangekuwa wanasema mshahara kuongezeka itaeleweka vizuri kwa kuendelea na kazi hiyo hiyo.
 
Kumbe maisha ni mapambano ya hali ya juu kabisa!Mwanzoni nilishangaa sana nilipoingia utumishi nikagundua watu wengi ni washirikina tena wa kiwango cha juu mno.Sikujua kumbe ni kwa ajili ya kupata fursa zilizoko serikalini ikiwa ni pamoja na kupanda madaraja ya mshahara na kupata mialiko ya semina mara kwa mara.
Hawa watu hata wakila rushwa hakuna anayewakamata.Huwezi kuamini rushwa hadi dakika hii imeshamiri sana na hata watumishi wanatoa rushwa kwa maafisa utumishi kupata mikopo na promotion.Ukweli wengi wanalindwa na nguvu za giza.
Ushauri wangu;
Ni lazima kuchagua kuwa baridi ama moto.Chagua kuwa mwaminifu kwa Mungu ama jikite kwa waganga ili ndumba zikutoe.
Binafsi nimeamua kumwekea Mungu tumaini na hata ninavyofanya kazi ni kama nimeajiriwa na Yesu.Hivyo hata nikihisi nimedhulumiwa huwa namwambia Mungu asinidhulumu,kwani nimekuwa mtumishi mwaminifu kwake.
Mungu ni mwaminifu sana,jaribu kumtegemea utaona jinsi anavyowaaibisha maadui zako.
Usilie mbele ya maadui wa haki bali nlilie Mungu atakuinua.Kama wanadhulumu kwa hila,ncha ya upanga haitawaacha salama.Maumivu unayopata yatahamishiwa kwao wanaodhihaki leo.
 
Dah mkuu kumbe hadi huko maofisini mnalogana, mm nilijua tu ni huku mtaani kabla ya kufungua duka lazima utambike.
 
S

Soma vizuri utaelewa. Mimi nimepandishwa daraja, na kulipwa mshara wa daraja jipya mwezi mmoja. Kisha Rais akasitisha kwa maelezo kuwa tuhakikiwe kwanza kama watumishi halali, uhakiki umekwisha, huu ni mwezi wa Sita baada ya uhakiki kukamilika, mbona madaraja haturudishiwi? Sasa ni jino kwa jino. Zuia madarajanitaiba muda nifanye mambo yangu.
Kumbe wewe mwenyewe unajipambanua tabia yako ya kutumia muda vibaya. Pili; kama uliingia katika Lawson unatolewaje kwenye payroll. Haya mambo ukayaongelee kwa wanasiasa wenzio ila technically impossible. Otherwise useme vinginevyo ama uonyeshe evidence tukushauri kitaalam zaidi.
 
Hii ni hali ya watumishi wengi wa umma.
Kiukweli serikali lazima ijitathimini sana inavyoishi na watumishi wake. Unajua hata kama ingesitisha madaraja lakini kila mwezi wangekuwa wanatoa annual increments kwa watumishi ingepunguza machungu.

Mimi ni mwalimu kuna wakati unaingia darasani unafundisha ukikumbuka tu ni mwaka wa sita unaenda huna increment wala daraja chaki inakuanguka mkononi.
Huwa najifikiriaga sana, hivi ufanisi kwenye mazingira kama hayo wa nini? Ufanye kwa bidii ili ugundue nini?

Ila haichelewi utamsikia MTU analopoka kama huwezi 'acha kazi'. Hizi ni kati ya kauli za kishenzi kabisa kutolewa na muungwana.
Tunajua hatulipwi appropriately kwani you can buy human labour. Huwa nakumbuka neno moja hivi; kama na mwalimu wangu alienifundisha pale kilosa P/S baada kwiro S/S halafu Ilonga ttc baadae saut hadi mlimani (udsm) angekuwa amelegea ningeweza kufundisha?

Nikilikumbuka hilo na neno tulilofundishwa na baba askofu akisisitiza, ukristo ni kuwa, kamwe usitende jambo lolote kwa MTU ambalo wewe hutaki kutendewa na aliongeze kuwa, upendo hustiri wingi wa dhambi. Hapo mie huku kwisha kabisa unainama unaokota chaki.
Kwa kuwa upo class, inabidi uweke kichekesho cha methali kuzuga watoto wasielewe kuwa unafrastrutioni zako commonly; mzungu anachugulia dirishani........ Au;
akunyimae mbaazi anakupunguzia .......... wanafunzi wanacheka umeshaua sooo ila kwa mwalimu ni joki na mkuki wa moyo.

Serikali hasa hii inamausanii ya kishamba sana!!!
[HASHTAG]#ATUBU[/HASHTAG] DHAMBI ZAKE
 
Kumbe wewe mwenyewe unajipambanua tabia yako ya kutumia muda vibaya. Pili; kama uliingia katika Lawson unatolewaje kwenye payroll. Haya mambo ukayaongelee kwa wanasiasa wenzio ila technically impossible. Otherwise useme vinginevyo ama uonyeshe evidence tukushauri kitaalam zaidi.
Kuna watumishi walio panda madaraja 2016 mwezi February, na kuanza kulipwa mishahara mipya mwezi May,2016 lakini ilipo fika June 2016 wote wakaondolewa mishahara mipya mpaka leo. Salary slips za May 2016 tunazo na zinaonesha mshara mpya wa daraja jipya. Hatuja tolewa kwenye Payroll , mshahara ndio umerudishwa kwenye daraja la zamani.
 
Hakuna hill ukishanza kulipwa mshahara maana yake uko katika payroll. Kwani hiyo ofisi hamtumii Lawson
 
Mara nyingi tunapozindua miradi tunapenda kusema"serikali ina pesa za kutosha!"
Tuvumiliane tu kwani kupanga nikuchagua
 
Mkuu pole nafahamu matatizo hayo na inaonekana wewe huwa unahoji sana hivyo basi wamekukomesha viongozi wako.

Kingine mkuu unaonekana kipindi husika huwa unajisahau sasa UCHAGUZI UKICMAMIA MTU ANASHINDA sasa chakufanya muda huu ni kuhamasisha JIWE LIKIWEKWA NA WAO JIWE LISHINDE mkuu
 
Heading yako inapingana na maelezo yako. Pili kama umefanya kazi miaka 27 basi umepitia hopefully awamu tatu za uongozi. Kupandishwa madaraja kuna vigezo pia. Unesema ulipandishwa bila kutuambia uliajiriwa kwa daraja gani, ukapandishwa hadi daraja gani. Kuna fani kama wahasibu ukishafikia daraja fulani huwezi kupandishwa tena bila cpa. Sasa wewe kuwa wazi tu tujue. Kwa sasa kama opras inafanya kazi unapandishwa kazi kwa kuangalia sio kigezo cha miaka tu bali performance based. Sasa unaweza kujipima mwenyewe.
Achana na hizo ngonjera zako!
 
unataka upande daraja gani?? lile la kigamboni au lile la furahisha mwanza
 
Back
Top Bottom