Miaka 2 ongea bureeeee mitandao yote

Waujumu uchumi nyie .
Hapa mteja na muuzaji wote wezi.
Maana malipo ya kodi hayapo. Vya njia ya panya sio vizuri ..
 
Yaaaaani mpaka page hii bado hakuna ushuhuda hata wa mtu mmoja ambaye umemuunga kiongozi...?
 
Huwezi kumpa mtu guarantee ya miaka 2 kuwa ataongea bure hasa kwa mambo ya mtandao maana kama kuna kitobo anytime linazibwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…