Mudi_kidato
Senior Member
- Sep 6, 2019
- 146
- 184
kama ukimuunga mtu halafu unaweza kum disconnect bila yeye kujua na hana cha kufanya huo utakua ni uhuniAah habari za majukum member wa Jf leo tumekuja na huduma ya kuongea bure miaka miwili unapiga kwenda mitandao yote ukiwa na lain ya tigo kwa gharama ya elf 20 tu... Karibuni sana
MALIPO NI BAADA YA HUDUMA
ZINGATIA[emoji116][emoji116]
UAMINIFU MTAJI NAPOKUUNGA ZINGATIA KUNITUMIA PESA MAPEMA KUEPUKA USUMBUFU UTAKAO JITOKEZA NIKIDHANI UNAITAJ KUNITAPELI
KAMA UNASWALI NJOO PM NAOGOPA KUWEKA NAMBA [emoji16]AU ACHA YAKO NAKUPIGIA
Kama nitamuunga afu nisipo mdisconect utakuwa....?kama ukimuunga mtu halafu unaweza kum disconnect bila yeye kujua na hana cha kufanya huo utakua ni uhuni
Nimemjibu hapo kwamba ikatokea nikamuumga mtu afu nisipo mdisconect utakuwa siyo uhuni kwaiyo kila kitu imani tuu[emoji120][emoji120]Aisee umewaza mbali sana. Very strong argument.
akirudi kukujibu nitag mkuu
[emoji16][emoji16][emoji16] sawa bosschungulia PM
Mwenye high risk ni mteja since ukimtoa kwenye huduma hana ujanja tena while pesa ameshakutumia and then you disconnect the service.
Ahahaha [emoji16][emoji16][emoji16] dah kwaiyo hapo pia unasema ulitapeliwa nawakati haukutuma pesa kwa wakati tupe ushahidi ulilipa afu haikijakaaa wakakudhulumu hapo wewe ndo ulionekana tapeliImeshanitokea sina hamu. Nimeunganishwa, nikapiga nikaongea bila hela kweli.
Baadae alie niunganisha akaniondoa kwenye system, sikuwa nimemtumia hela nilimwambia asubiri masaa 6 tu.
PESA NI NGUMU KUPATA LAZIMA UWE MACHO HASA
[emoji16][emoji16][emoji16] ukimaliza deni ndo utapatiwa hudumaNiko tayar Kama hiyo elfu 20 ntailipa kwa awamu..
Na ukiwa muoga utaishia kuona watu wanaungwa wanatumia wewe endelea na fact [emoji38][emoji38]Umeongea fact..mkuu
Hahaha the service if you disconnect the money ithi the end kwaiyo kaka wewe kama haumini katika hili nakushauli jiunge buku jero wiki dakika 200[emoji16][emoji16][emoji3] zinatosha sabaMwenye high risk ni mteja since ukimtoa kwenye huduma hana ujanja tena while pesa ameshakutumia and then you disconnect the service.
[emoji16][emoji16][emoji16] ukimaliza deni ndo utapatiwa huduma
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] aisee utajisahau weweKila mwez ntakuwa nalipa 2000 had nimalize hela yako
[emoji3][emoji3] sasa sijuw nijibu katika point ipi