njellu
Member
- Jan 6, 2013
- 44
- 16
Nikiwa na miaka 9 tu,nilikupoteza mama yangu kipenzi.Sijaacha kulia juu yako katika kipindi chote hicho,kila ninapovuka vizingiti ndivyo ninavyozidi kutamani ungekuwepo pembeni yangu na kunipigia makofi.Ninaishi kwa ajili yako,nakupenda sana mama Mungu na aendelee kukupa pumziko la milele