Acha zako ni wivu tu.
Mimi napenda sana fatilia watu wanao hustle na kufanikiwa na daima uwezi nikuta nikamfagilia mtu aliekuta pesa kwao akapewa aendeleze business watu kama kina MO kwangu uwa hawana mchango wowote nakua motivated na watu kama KFC, Jackmaa, Diamond coz wanazitafuta pesa unaona wanakula jasho lao na walipotoka panaeleweka.
kwa Kalito mimi naona nimpambanaji sana siwezi mtetea coz sijui nyuma ya pazia kuna nini ni mtu nliemfatilia huu ni mwaka wa 5 since ndo biashara yake inakua ya


of course jamaa anajichanganya sana na watu ata pale Mlimani kipindi anafungua nlimkuta yuko na wamasai na anabeba magogo kama sio boss
May be umesema anauza sembe kisa anaukaribu na watu baadhi inaosemekana wanauza sembe kama kina Kinje, japo kwangu mimi najua hawa ni baadhi ya watu walio msaidia idea ya mgahawa wake pamoja na mambo mengine.
Mwisho kabisa nasema tufanye kazi, ata iyo sembe ni kazi pia kupita na mzigo ukawa salama sio kitu kidogo kama unabisha kajaribu na wewe.
vijana au watumiaji hawalazimishwi kutumia bali ni upumbavu wao na ukosefu wa elimu za matumizi ya madawa ya kulevya ( unasema wanaua vijana wakati vijana nowdays wakikosa wanaenda kula mavidonge ya valium watoe alosto) so acha wivu usio jenga fanya hustle zako mkono uende kinywani