Miaka 11 tangu ya kifo cha nguli wa HIP-HOP: Father Nelly

Na tulienda mpk kwenye tukio mabrother wa mtaa ndo wakampelek sipital nakumbuka tax ilikunya mchukulia karb n uwanjn kam sikosei ilikuw kwenye mida ya sa 3 ivi usiku kam sikumbuki vzr
 
Uyo moses alikuw anampiga mke wake ndo jamaa kwenda kuamua ndo akachomwa visu na kumbuka kipindi icho Niko LA saba nimesoma na mdogo make kijenge anaitwa Steve au jamaa n Msanii kam bro ake na anayo mdogo ake wa kike ni dancer anaitwa Merry mwingine yuko ujeruman anaitwa neem na dda mwingine mkubwa na wanao bro mwingine mkubwa yuko marekani
Huyo wa marekani ni mdogo wake nelly sio kaka yake...

Binafsi siwezi Bisha maana sikwepo. Ila nitasimamia nilichoskia kwa watu wa karibu na NELLy akiwepo JCB.

Makalla siku zote kwenye concert za INAWEZEKANA amekuwa akitoa stori nzima ya ilivyokuwa mwanzo hadi mwisho. Hii ya mke nilishaiskia ila rasmi ni hiyo ya bifu la kuwq shahidi. Ila pia huwenda walificha hiyo ya mke kwasababu maalum you never know.
 
Yap ilikuw yan jamaa anahis nely anatoka n mke wke so alivoenda amua jamaa akaona lbd kwel akaamishia hasira kwke
Hizo ni story za chini. Nilikuwa nazijua ila hawajawahi kuzisema officially. NA kila siku makalla alipokuwa anasimulia alitoa hiyo niliyoisema mimi.
 
Faza Nelly na crew yake ni miongini mwa wasanii wa mwanzo kabisa kufanya show majuu.
Na hata huko YouTube video zao ni za kwanza kufikia views nyingi sana kwa kipindi hicho.
Apumzike kwa Amani.. Hivi ni nini dhambi!?!?
Hakuna dhambi kwa mwenye dhidi mkuu.....hahaha
 
Makala enyew akuepo nakumbuka kwenye msiba tulikuw tunaenjoy sna cz wakina spack dog,bux,bungaa,deweda,yuzo,donii yani wasanii wte wa chuga wlikuw hlf ikifika nyt mizuka ya kuchan usipme arif ila spack dog ndo kipindi icho dah alikuw anatupa str za uongo m kwel
 
Nakumbuka Ile ngoma ya x plastaz inaitwa nini dhambi,,, jamaa alikua fundi sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom