Miaka 10 yangu marekan

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣umenikumbusha dada fulani aliwahi kuambiwa amsalimie Queen Latifa.

Msalimie Card B
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣umenikumbusha dada fulani aliwahi kuambiwa amsalimie Queen Latifa.
Hahah! Inabidi tuwatumie wabongo wa ughaibuni kufikisha salamu zetu bhana
 
Reactions: BAK
Kabisa Mkuu alivyonihadithia nilicheka sana yeye pia alipoambiwa alicheka sana maana binti alikuwa very serious kuhakikisha salaam zake zinafikishwa.

Heheh! Alijua macelebrities wa huko unakutananao kama wetu au kama Swala vile ukiwa unapita Mikumi
 
komaa ,ila ukitoka chuo mtaani napo jitihada ya ziada inatakiwa kusurvive πŸ’ͺ
 
Albany NY
Aiseee nilikuwa na demu wangu hapo Albany mkuu wa kispanish. Nisalimie Colonies city na Troy city I90 na route 20 na 9w.

Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…