Miaka 10 ya uongozi wa Rais Benjamini William Mkapa

Miaka 10 ya uongozi wa Rais Benjamini William Mkapa

Jk yupo juu, wanampinga wengi ni machadema yenye uroho wa madaraka, na wafuasi wake wengi ni vijana wahuni wanaoshinda facebook, hata kazi hakuna, fanyeni kazi acheni umbulura, kazi unafiki tuu na malawama,mwacheni jk afanye kazi,amefanya mambo makubwa.
 
samurai

Mkuu huwezi kufananisha philosophy ya ujamaa wa akina Max, Engels, Mao et al na Nyerere, those people were trying to fight existing classes within society. Whereby, Nyerere (my take in political reasoning as i read him) yeye aliona ujumaa ndio njia sahihi ya kujenga utaifa ambalo lilikuwa na uhaba wa wasomi, njia ya kujikinga na ubepari ambao ungeweza kuja na influences zingine katika jamii (kumbuka the practices where rich among colonial masters); wakati kikubwa kwake ilikuwa kujenga akili za utaifa kwanza na kuweka misingi imara ya utanzania. Na ata yeye akatai makosa ya kiuchumi, lakini kama mara nyingi utasikiliza speech zake, interview zake na maandishi yake hoja yake kubwa unakuta ni nationalism thinking among its subjects. Kwa hivyo unaweza kuona (or assume) where most of his leadership thinking aimed at na kwanini ujamaa ulikuwa muhimu kwake sanasana within his boundaries, lakini hakuna mahala ambapo amesaidia ukombozi na kuwaomba na wao wafuate nyao hizo despite his Pan-Africanism beliefs.

Kwa hivyo ku-fail kwa ujamaa tusiangalie kiuchumi tu bali integration among us, social reasoning, identity etc alizoacha na long term impact. Kuna watu watakao tetea na kudai mbona integration ilianza miaka mingi what they wont tell is how migrants were identified, opportunities available, ebu wasome wale wa kariakoo wanaommbeza Nyerere na wanavyojiona muhimu katika historia ya uhuru. Au fuatilia wanyamwezi waliokuwa wanaenda Zenj walikuwa wanafanya kazi gani na kwanini kukawa na makundi tofauti ya kimaoni wakati wakupigania uhuru sana sana huko ZnZ. Nyerere alitaka kwanza wote hawa wajitambue kuwa ni watu wenye haki sawa sasa sijui unaanzia wapi hapo bila ya sera za kijamaa?

Ntakubali tu kuwa akutayarisha viongozi imara wa kisiasa wa baadae na kulegeza checks serikarini ili kuwe na uwajibikaji leo, hivi ni vitu ambavyo alijimilikisha madaraka ya teuzi nyingi ili kufikia malengo yake na kumpa udikteta fulani wa kutimiza malengo yake ambayo yalikuwa ya lazima na umuhimu kwa wakati wake (kama kuteua watu wakabila mbali mbali kuongoza sehemu wasizotoka na sheria za kuwafanya waheshimike) na sehemu zingine muhimu na nyeti ili kuweza kuwa in control of the politics and his radical policies.

As for the whole katiba ukitoa poor checks ni katiba bora moja duniani hakuna, isipokuwa wanasheria wamelala kuzipeleka taasisi za serikari au wabunge wakupinga legislations zinazoletwa na serikari ambazo ni unconstitutional lakini inabidi uisome vizuri ndio utanielewa na mwishowe utagundua tatizo sio katiba kabisa kama tunatazama haki za raia bali tatizo ni wafanya checks za katiba i.e wabunge, judiciary and other toothless policing organs.

Uongozi wa Jakaya Kikwete, maswali yako unayoyauliza na lawama unazotaka kutoa ni baseless na wala azina ugumu wa chicken and egg which came first, uwezi kushamiri as an industrial society with massive noneducational among many. Huwezi kuendelea kama una poor infrastructure, poor communication channels from the policy makers with the rest of society and monitoring, one way thinking (bila ya kelele za upande wa pili media, raia, opposition parties; all these help you stay in a perpective), less competition in the economy participants, a population with multiple deprivations, supportive businesses industries, to name a few.

Wanachokifanya akina JK ni kutengeneza mazingira ya kuhakikisha environment inaweza pokea industrial phase, na kuhakikisha sera kuu inawafikia wengi na wananufaika wakati wanajenga mazingira ya baadae (ndio maan kilimo kwanza kinapewa kipaumbele kwakuwa kinagusa wengi wetu). Sasa kinachotokea pengine ata wenyewe awakukitegemea ni mafanikio ya haraka ya sera kuu na wakulima kuanza kudemand vitu vingine mapema mfano; more competition on the market of their produces, kufundishwa kusindika ili waweze utilize more mfano kutengeneza wenyewe kiasi fulani cha mafuta ya alizeti, matunda to juices, pilot schemes za wafugaji wana demand soko la maziwa, nyama na mambo mengi sana yanaibuka kwa mara ya kwanza: ambayo hayajatengewa sera za kuipokea kilimo kwanza.

Either way the next phase of industrial revolution ikianza wao walilenga wawe tayari na an already existing supporting environment (kumbuka kimazingira hii imekuja haraka kwa mtazamo wangu), hata tatizo la huko ni kwamba sio capital only inahitajika na soko (kama wakulima wanvyodai), bali pia maadili ya kazi na maendeleo, wasomi ambao ndio kwanza wanaanza kuwa enough for the first time in our history to support such industries, infrastructure and easy access to resources etc.

Mazingira yote kayatayarisha JK largely, despite kuwa na watu wengi wanaoaribu na ubadhilifu wa hali ya juu. Hawa watoto wa CDM wenye miaka ishirini wanakuja hapa kutukana na elimu zao za chuo wengine ata uwezo wao bado mdogo sana wa kureason na hawajui leo wanaitwa wasomi eti university graduates. Lakini awaelewi ni kutokana na chances walizopata chini ya JK huko nyuma kutokana na uwezo wao mdogo wanaounyesha hapa kihoja na ushindani wa nafasi za vyuo wangekuwa wameanza kushikilia viduka vya wazazi wao sasa na elimu ndio wangeisikia bombani, lakini sasa wamekuwa wasomi wanadai ajira bila ya kuwa na shukruni kwa mtu aliewapa nafasi. Anyway hilo la ajira na viwanda hayo sasa yawe changamoto wa atakae mfuata JK, hila jamaa kaacha kitu ambacho kina impact na inaoneka asietaka ana yake tu, hata sera za uwekezaji sasa si kupangiana na watu wachache mtakao kutana Kempsinki, bali ni national known policies.

mkuu, nanukuu kaul yako " kikubwa kwake ilkuwa kujenga akili za utaifa kwanza na kujenga misingi imara ya utanzania"
nikianzia hapa nafikili unaweza kukubaliana na mimi kwamba, moja ya tatizo kubwa sana mpaka sasa katika Tanzania ni UZALENDO miongoni mwetu, uzalendo kwa wengi haupo kabisa..nandiomaana KIKWETE akaliona hili akaamua kurudisha JKT kwa vijana lengo ni kuleta uzalendo na ukakamavu..ambavyo kwa sasa hakipo, JE NYERERE ALIJENGA HUO UTAIFA NA UTANZANIA KWA AJILI YA KIZAZI KIPI? kama in the new coming generation hakuna uzalendo yeye kama baba wa taifa alijenga base ipi kwa taifa lake?
kabla ya NYERERE Tanzania makabila yalikuwepo na watu waliishi, ndio maana hata yeye NYERERE pamoja na kuwa MZANAKI alipokelewa na wazee wa dar es salaam (sykes na wenzie) na wakampa mamlaka, kwa hiyo hapa utaona utaifa ulikuwepo kama asili na sio kitu cha kutengeneza...

Bila shaka umekubali kuwa ujamaa uliua uchumi au yeye target yake haikuwa uchumi,,, sasa taifa bila nguvu ya kiuchumi litajivunia nini kwake??? utaona hata huo utaifa alioutengeneza haupo tena ina maana alitengeneza kitu ambacho ni cha muda mfupi ili kimlinde.... kaondoka nacho kimeondoka.
Hapa ndio utaona maraisi wanaofuata wanakuwa wanajaribu kucover kazi ambayo ilikuwa ni ya kwake, hakuacha msingi imara ili watu wauendeleze....


JK KIKWETE; Umeongelea infrastructure ili mazingira yawe bora kwa RAISI ajaye, wazo lake ni zuri... lakini je what is the life span of this infrastructure??? ( is it 100, or 200 yrs?). mfano barabara zinajengwa hazifiki hata miaka mitano zinakuwa tatizo tena, tunajenga barabara kwa mikopo,,,, je huyu RAISI ajaye huoni kwamba baada ya kuendelea na stage B atakuwa anarudia kazi ya KIKWETE??? (KULIPA MADENI, KURUDIA BARABARA ZILIZOCHIMBIKA, KURUDIA MADARAJA YALIYOBOKA).
Suala la vyuo vikuu ni kweli amejenga majengo, je WHAT ABOUT THE QUALITY OF THESE DEGREES FOR THE SAKE OF OUR NATIONAL DEVELOPMENT... umesema mwenyewe nakunukuu... "Hawa watoto wa CDM wenye miaka ishirini wanakuja hapa kutukana na elimu zao za chuo wengine hata uwezo wao bado mdogo sana wa kureason na hawajui leo eti wanatwa university graduates" sasa mkuu hapa umedhihirisha mwenyewe hata hii elimu kumbe haina QUALITY, lakini majengo yapo... Naomba ufanye research kwa wanaomaliza form six na form 4 halafu uone kama wanaQUALITY

kwa hiyo utaona hata hayo maandalizi wanayofanya, ni propaganda kwa sababu sio scientific proved, naomba nimnukuu mkuu wa nchi " JAMANI TUKIWAKAMATA HAWA MAFISADI,UCHUMI UTAYUMBA" alikuwa sahihi kabisa, maana ya hii ni nini, UCHUMI UMESHIKILIWA NA MAFISADI, je yeye kama raisi ameonyesha juhudi gani kuhamisha huu uchumi kwa wananchi (serikali)???

swali; unaamini kitaalamu ujenzi wa barabara ya dar es salaam(mwendo kasi) ni best solution kwa dar es salaam, barabara iliyobomolewa haina life span ya miaka 20 toka ijengwe kutoka single way, je serikali na wataalamu wake walishindwa kuforecast for 100-120 yrs? JE HUONI KWAMBA RAIS AJAYE ATABOMOA TENA HII MWENDO KASI ILI KUKIDHI HAJA YA MJI? WHY NOT 8 WAYS AND FRYING OVER FOR ANOTHER 130 YRS?
BARABARA YA TANGA IMERUDIWA KWA KUTANULIWA, JE ITAKIDHI HAJA KWA 100YRS ILI RAISI AJAYE AFANYE MENGINEYO NA SIO BARABARA???
Kama ulivyosema anaandaa miundo mbinu, NI KWA KIASI GANI (asilimia ngapi) RELI IMEBORESHWA KWA MIAKA YAKE 10, ZAIDI YA KUSIKIA PLAN ZA MWAKYEMBE, Kwahiyo hili nalo raisi au maraisi watakaokuja watalikuta nalo..

JK KIKWETE ameongeza deni la taifa, tunakopa sana, JE HUONI RAISI AJAYE ANAKAZI YA KULIPA DENI ILI RIBA ISIWE KUBWA!
SERIKALI INAISHI WA KUKUSANYA KODI TOKA ENZI YA NYERERE MPAKA KIKWETE,,, je KIKWETE kama maandalizi kwa RAISI AJAYE AMEANZISHA CHANZO KIPI KIPYA CHA MAPATO NJE YA KODI??? Kwa sababu vyanzo vya kodi ni vilevile..
NITAJIE MANUFAA YA KILIMO KWANZA KWA MKULIMA MDOGO MPAKA SASA uwe umeona kwa macho yako..

JK KIKWETE HE HAS DONE HIS PART (SMALL ONE), IS IT ENOUGH FOR HIS 10YRS? FOR POOR NATION? CAN WE MOVE FROM HIS STRATEGY... CAN WE STAND ON HIS THINK TANKS.... THE GOOD AND THE BAD CAN WE MEASURE, AND RANK HIM? ....
 
Tatizo la wasiofwatilia mambo wanakuwa waropokaji ,hivi mnajuwa barabara zinazojengwa unajuwa ulikuwa ni mpango ulioachwa na JEMBE Benjamin mkapa,baada ya kukaa na kuita wasomi wa nchii hii akawaomba wajifungie waangalie ni kitu gani ambacho kitaisaidia Nchi kwa miaka zaidi ya Mia ijayo wakaja na mkakati ushauri huo Pamoja na mikakati ya upatikanaji wa Fedha za ujenzi na program zote zikawa zimeandikwa akakabiziwa ,hii inamaana huwezi kuwa acha wasomi ukakaa mwenyewe ukadhani utaweza ,jambo linalo mshinda huyu ndio Hilo ,hajawahii kaa na wasomi na mawazo Yao hata hayajali na hayataki ,ndio tulipo fika juweni tutamkumbuka huyu kutokana na kujaribu kuwatenga watanzania na shule alizozileta na hakuna cha kumkumbukia barabara ni mpango mkakati wa mkapa tusiwadanganye wananchi

Alicha napesa zaujenzi au
 
TEKNOLOJIA

We bwana mbona mkaidi sana halafu unakuwa aupo fair kabisa, hakuna aliesema elimu ni 'top notch' lakini utaki kuelezea sababu zingine zinazoweza changia kama limited funds ambazo Tanzania inabidi ifanye nayo kazi. Hili kuboresha elimu kunahitajika large amount of investment ndani ya Tanzania i.e walimu, mishahara, resources, madarasa na hata afya bora ya mwili na mawazo kwa walimu na wanfunzi; ili tutoe elimu yenye kiwango unacho demand, sasa kwakuwa atuna uwezo huo aina maana tusiongeze wigo la wanafunzi kitaifa.

Alikadhalika hakuna uchumi wa kupokea wengi ya wahitimu leo let alone other sectors ambazo zinahitaji hela hiyo hiyo ya serikari where its services are free too as in health serivces etc, sasa unataka watu wawekeze hela zote za nini kwenye formal sector ya elimu na mijitu hiyo hiyo inayopewa elimu bure ikiambiwa ichangie mashuleni kuboresha huduma wanakuja juu hatari. Besides hata hicho kiwango cha leo kuna uzembe mkubwa sana wa ukaguzi na allocation efficiency within the ministry hayo tena yanakuwa matatizo ya wizara and its policy delivering organs/units.

Licha ya matatizo luluki uhalali wa nia auondoki, kama JK kaweka uwingi na investment kwenye mashule wengine waje waboreshe viwango maana afanyi hivi vitu akiwa na unlimited funds. If we were a rich nation tungetoa tu elimu yenye kiwango hila kwa sasa the precedence for education that will cater for industrialization has been set. Ukizingatia bado na elimu inatolewa vijijini ambayo ya kukidhi mazingira ya kujikwimu na kupunguza ugumu wa maisha kama vile kwenye mashamba shule, ujasiriamali, kuwezesha makundi ya wakulima, wafugaji, vijana, jinsi ya kutumia mazingira na mengineo haya yote yanamanufaa huko mbele kuelekea kwenye industrialization, hayo unayoyataka wewe subiri pato la taifa likuwe kwanza au waambie UKAWA hela ya bunge la katiba wametupotezea bure tu, lakini lengo la kujenga mazingira ya ku-support an industrial phase is there and visible unless utake kubisha tu kwa ukaidi wako.
 
samurai

Kuhusu JKN

Mkuu watanzania ni wepesi wa kulaumu sana na wakukosoa lakini siku zote hawataki kukemea maovu yanayobomoa. Utaki kukemea watu ambao wana encourage siasa za majimbo majukwaani wakati wanajua wazi ignorance iliyopo among us inaweza ikazua fikra za ukabila na kudidimiza utaifa, hamataki kukemea siasa nyumba za dini ndio wa kwanza kuwaita wachungaji na masheikh wana akili nyingi sana wanapotoa nyaraka zao za kinafiki kuponda mienendo ya serikari au wanapo promote siasa za ukanda/separations na hata siku moja uwasikii wakikemea maadili ya jamii kazi ambayo mungu alitegemea wamfanyie ili tukifa tukaione hiyo pepo.

Nyerere alifanya kazi hii akiwa kalikamata rungu la chuma hakuna huu upuuzi wa media, uhuru wa mawazo na mengineo yenye nia ya ku-shape one way thinking ndio maana utaona kuna wanaomuona shetani, lakini hiyo phase ilibidi ifanyike na kuna mengi ya kuzungumzia maana utaifa nao unachangiwa na mambo mengi na hatuwezi kuendelea na namna za uongozi wa nyerere za utaifa baada ya kutimiza malengo yake ya awali.

Kinachotokea ni kwamba serikari imeshindwa kuja na njia sahihi za nationalism propaganda bila ya kujua na wao wanawapa watu nguvu za kuji identify differently first through their other social influences kwa kuachia watu wa dini na siasa za kujigawa kuendelea without proper measure to counter attack wao wamebaki defensive tu tena kwa kubemebelezana na hawa wahuni wataifa. Ndio sababu unaona wanaamua kurudhisha mafunzo ya jeshi kwa wahitimu wa form six not a bad move but shows the lack of creativity within the government. Wao wamekuwa wakitegemea polisi tu siku zote kuwa upande wa serikari lakini propaganda za utaifa ni very weak (word on the street kuna funds mingi tu zipo tayari kwa sababu ya propaganda za utaifa sio kisiasa, lakini hakuna ideas, jamani si watutafute na hakina sie mbona tuna mawazo mengi tu). Anyway haya ya JKN kwanza tuyaache maana yanataka thread yake nyengine kama nilivyogusia tatizo ni succession planning ya leadership aikuwa nzuri.

Kuhusu Jakaya Kikwete

Sasa unamlaumu vipi kwa viwango vya miundo mbinu kama barabara' unataka yeye akatafute hela aje na kuchagua tena tender za barabara na azikague. Ndio maana hata wao wanakiri kuna watendaji wabovu mawizarani au kwenye vyombo husika vyenye mamlaka ya kusimamia viwango au huduma zinazotolewa. Hila sidhani kama nia na madhumuni yao ni kujenga barabara leo hili baada ya miaka michache zifanyiwe ukarabati mkubwa tena. Kwa hiyo lawama unajua zinapotakiwa kuelekezwa hapo.

Hayo mengine soma nilipo mjibu TEKNOLOJIA mengi yanahusiana ndio maana nikasema yeye kaanzisha gurudumu la development hila matatizo yaliyopo ndani ya jamii asingeweza yamaliza yote; regardless the foundation has been built by JK.
 
Ndugu zangu naikumbuka sana miaka aliyoongoza rais Mh Benjamini Mkapa, maji, umeme, nauli, mchele , unga, sukari, kodi za nyumba alhamdullah walalahoi tuliona unafuu wa maisha mwenyezi Mungu ampe maisha marefu Mh Mkapa japo atakuwa na machache ambayo si mazuri yaliyofanywa chini ya uongozi wake binadamu hatujakamilika kwa yote.

Swali naomba kuuliza nini kilichomshinda Mh Rais wa awamu hii ya nne kututoa kwenye ahueni ya maisha mpaka kututupa huku kwenye pori lililojaa ndezi bila hata viatu?

Maisha Tanzania yamekuwa ya kuvizia kama chui na swala.

Hembu tuulizane wandugu ni nini kilichowashinda hawa viongozi wa sasa kutuacha wananchi tukitaabika namna hii au ndio tunaishi nchi ya kusadikika?

Hayo maji na umeme yalikuwepo?
 
kwenye ccm hakuna fisadi ambaye uongozi wake hutakuwa na afadhali sema staili wizi tu zinabadilishwa leo mtamuona fisadi mkapa uongozi wake afadhali dhidi ya huu wa leo lakini waliokuwepo enzi mwinyi walisema mkapa hafai miaka ijayo akiingia fisadi mwingine mtasema bora fisadi huyu anasamehee wezi huyo mwingine atawatuma laivu huku mkiwa mnaona hakuna afadhali kwa mwanachi ndani ccm tutalia kila siku sababu ccm nzima imejaaa kufuru mafisadi
 
Kwa Wazanzibari tunamuona ni mmoja kati ya wauwaji baada ya kutuletea jeshi hapo 2001 na kutuulia watu wetu,

Mungu amlaani. 📢
 
Ni kweli hata mwendawazimu hawezi kuwalinganisha huyo na huyu, angalia maajabu ya Kikwete
- Aliyejenga mabarabara mara mbili ya idadi ya kilomita alizozikuta
- Aliyejenga madaraja makubwa sana 3 kati ya 5 aliyoyaahidi Nyerere
- Aliyeleta vyuo vikuu zaidi ya 44 ? mara 4 zaidi ya waliowakuta
- Aliyezesha wanafunzi 160,000 wa vyuo vikuu mara 4 zaidi ya aliowakuta
- Aliyejenga chuo kikubwa kuliko vyote EAC.
- Aliyejenga chuo kikubwa cha sayari kwenye ukanda huu cha Nelson Mandera
- Aliyepeleka sekondari hadi kwenye kata
- Aliyezalisha umeme wa mega wait 1500 mara mbili zaidi ya alioukuta
- Aliyeanzisha umradi wa kupeleka umeme vijijini?
- Aliyewaunganishia umeme toka 12% alipochukua madaraka mpaka 21%
- Anayejenga bomba la gesi kubwa toka Mtwara hadi DAR
- Anayejenga barabara ya mabasi yaendayo haraka.
- Anayekubalika na viongozi wote wakubwa wa Dunia hii
- Aliyeanzisha hospital ya tiba ya moyo nchini
- Aliyeanzisha hospital ya kisasa ya kinywa
- Aliyesogeza huduma za afya karibu na wananchi
- Aliyejenga miundombinu ya afya
- Aliyeboresha huduma ya maji nchini
- Aliyeongeza ajira nchini
Amethubutu kufanya mambo mazuri ambayo awali hayakuwa kwenye ilani ya chama chake kama vile Katiba mpya, ujenzi wa UDOM na ripoti ya CAG kujadiliwa bungeni
Mwenye macho na ajionee
 
kampuni la UMMA la TTCL baada ya kuuziwa celtel unasemaje?
 
Back
Top Bottom