mnyamiwono
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 708
- 71
Hata JK mtamsifu tu sasa HV mnajifanya hamuoni mavituzi
Mkapa hakuingia ikulu kwa kupitia mtandao wa mafisadi alijua anaenda kufanya nini,watz mnaona kabisa Kikwete kazungukwa na watu hatari akina Rostam,EL,na wengine mlitegemea nini.na washauri wapinzani watoe wagombea wenye uwezo wakuweza kuwangalia wananchi,leo ubungo hadi posta nauli sh.2000.ametukatisha tamaa Kikwete shusha kodi ya petrol ,dizel na mafuta ya kula japo tukupende hapa mwishoni
Vipi kuhusu wakulima ambao ni 70%-80% yetu ni lini wameanza kujivunia, au lini umewahikusikia hifadhi ya taifa ya chakula imejaa kupitliza, wakulima wanasehemu za kuhifadhi mazao yao, wakulima wameanza kujenga nyumba za kisasa ingawa ujasiriamali na miundo mbinu bado, lini umewahi kusikia wakulima wakianza kuongea sera imara za uchumi kilimo, sehemu ngapi ndio kwanza leo zinapata maji ya uhakika ili watoto na wamama wasizunguke maporini, zahanati ngapi zinajengwa leo, nyumba za watumishi wa umma vijijini?Jk,kikwete: amerithi yale ya mkapa, bomu limelipukia Keane, naye amekosa mwelekeo na nguvu ya kupambana,dhaifu, katika utawala wake watu wamenunua serikali na kutokua na woga kwa kifupi ni dhaifu na muoga hata uthubutu na uzalendo, kwake uongozi umekuwa cheap,unafiki,utoto,urafiki kwenye kazi..
Ameendeleza umasikini walioacha wenzake..
Ulifunga duka kwa sababu ya kutegemea biashara za kihuni na wizi wizi tu(wenyewe mnaita dili).Hakuna kipya alicholeta JK katika barabara zaidi ya kutekeleza mipango ya BWM ambaya kwa mara ya kwanza alisababisha safari za mabasi kutoka Mwanza kwenda Dar zisipitie Nairobi tena!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Vipi kuhusu wakulima ambao ni 70%-80% yetu ni lini wameanza kujivunia, au lini umewahikusikia hifadhi ya taifa ya chakula imejaa kupitliza, wakulima wanasehemu za kuhifadhi mazao yao, wakulima wameanza kujenga nyumba za kisasa ingawa ujasiriamali na miundo mbinu bado, lini umewahi kusikia wakulima wakianza kuongea sera imara za uchumi kilimo, sehemu ngapi ndio kwanza leo zinapata maji ya uhakika ili watoto na wamama wasizunguke maporini, zahanati ngapi zinajengwa leo, nyumba za watumishi wa umma vijijini?
Ukitoa nguvu alizotumia mwalimu na kwa sababu sahihi za kujenga taifa ndio maana hata sababu zake za ujamaa uwezi kuzielewa maana azikulenga kwenye uchumi tu bali na ujenzi/bond ya utaifa. Anyway he is in a different levelna waliomfuatia awa hata robo ya akili za mwalimu awana.
Ukirudi kwa waliomfuatia Mwalimu JK ndio pekee kaonyesha any sort of momentum towards development in terms of preparing the environment that could accommodate changes i.e infrastructure and other social capital investment. Itakuwa ujinga kutetea kilakitu alicho kifanya maana it could have been better would he have been a serious president; regardless without a shadow of the doubt he is the first president to have had implemented inclusive policies that impacted the nation positively na kuwaachia mazingira yenye unafuu viongozi wa baadae ambao watakuwa serious na maendeleo maana kuna jeshi la wasomi/informed farmers (who understand what policies would suit them) tayari kupokea maendeleo na kuchangamkia fursa.
Mwinyi na Mkapa awa ndio walikuwa time wasters tu no impact nor legacy was left behind, whatsoever.
samurai
Mkuu huwezi kufananisha philosophy ya ujamaa wa akina Max, Engels, Mao et al na Nyerere, those people were trying to fight existing classes within society. Whereby, Nyerere (my take in political reasoning as i read him) yeye aliona ujumaa ndio njia sahihi ya kujenga utaifa ambalo lilikuwa na uhaba wa wasomi, njia ya kujikinga na ubepari ambao ungeweza kuja na influences zingine katika jamii (kumbuka the practices where rich among colonial masters); wakati kikubwa kwake ilikuwa kujenga akili za utaifa kwanza na kuweka misingi imara ya utanzania. Na ata yeye akatai makosa ya kiuchumi, lakini kama mara nyingi utasikiliza speech zake, interview zake na maandishi yake hoja yake kubwa unakuta ni nationalism thinking among its subjects. Kwa hivyo unaweza kuona (or assume) where most of his leadership thinking aimed at na kwanini ujamaa ulikuwa muhimu kwake sanasana within his boundaries, lakini hakuna mahala ambapo amesaidia ukombozi na kuwaomba na wao wafuate nyao hizo despite his Pan-Africanism beliefs.
Kwa hivyo ku-fail kwa ujamaa tusiangalie kiuchumi tu bali integration among us, social reasoning, identity etc alizoacha na long term impact. Kuna watu watakao tetea na kudai mbona integration ilianza miaka mingi what they wont tell is how migrants were identified, opportunities available, ebu wasome wale wa kariakoo wanaommbeza Nyerere na wanavyojiona muhimu katika historia ya uhuru. Au fuatilia wanyamwezi waliokuwa wanaenda Zenj walikuwa wanafanya kazi gani na kwanini kukawa na makundi tofauti ya kimaoni wakati wakupigania uhuru sana sana huko ZnZ. Nyerere alitaka kwanza wote hawa wajitambue kuwa ni watu wenye haki sawa sasa sijui unaanzia wapi hapo bila ya sera za kijamaa?
Ntakubali tu kuwa akutayarisha viongozi imara wa kisiasa wa baadae na kulegeza checks serikarini ili kuwe na uwajibikaji leo, hivi ni vitu ambavyo alijimilikisha madaraka ya teuzi nyingi ili kufikia malengo yake na kumpa udikteta fulani wa kutimiza malengo yake ambayo yalikuwa ya lazima na umuhimu kwa wakati wake (kama kuteua watu wakabila mbali mbali kuongoza sehemu wasizotoka na sheria za kuwafanya waheshimike) na sehemu zingine muhimu na nyeti ili kuweza kuwa in control of the politics and his radical policies.
As for the whole katiba ukitoa poor checks ni katiba bora moja duniani hakuna, isipokuwa wanasheria wamelala kuzipeleka taasisi za serikari au wabunge wakupinga legislations zinazoletwa na serikari ambazo ni unconstitutional lakini inabidi uisome vizuri ndio utanielewa na mwishowe utagundua tatizo sio katiba kabisa kama tunatazama haki za raia bali tatizo ni wafanya checks za katiba i.e wabunge, judiciary and other toothless policing organs.
Uongozi wa Jakaya Kikwete, maswali yako unayoyauliza na lawama unazotaka kutoa ni baseless na wala azina ugumu wa chicken and egg which came first, uwezi kushamiri as an industrial society with massive noneducational among many. Huwezi kuendelea kama una poor infrastructure, poor communication channels from the policy makers with the rest of society and monitoring, one way thinking (bila ya kelele za upande wa pili media, raia, opposition parties; all these help you stay in a perpective), less competition in the economy participants, a population with multiple deprivations, supportive businesses industries, to name a few.
Wanachokifanya akina JK ni kutengeneza mazingira ya kuhakikisha environment inaweza pokea industrial phase, na kuhakikisha sera kuu inawafikia wengi na wananufaika wakati wanajenga mazingira ya baadae (ndio maan kilimo kwanza kinapewa kipaumbele kwakuwa kinagusa wengi wetu). Sasa kinachotokea pengine ata wenyewe awakukitegemea ni mafanikio ya haraka ya sera kuu na wakulima kuanza kudemand vitu vingine mapema mfano; more competition on the market of their produces, kufundishwa kusindika ili waweze utilize more mfano kutengeneza wenyewe kiasi fulani cha mafuta ya alizeti, matunda to juices, pilot schemes za wafugaji wana demand soko la maziwa, nyama na mambo mengi sana yanaibuka kwa mara ya kwanza: ambayo hayajatengewa sera za kuipokea kilimo kwanza.
Either way the next phase of industrial revolution ikianza wao walilenga wawe tayari na an already existing supporting environment (kumbuka kimazingira hii imekuja haraka kwa mtazamo wangu), hata tatizo la huko ni kwamba sio capital only inahitajika na soko (kama wakulima wanvyodai), bali pia maadili ya kazi na maendeleo, wasomi ambao ndio kwanza wanaanza kuwa enough for the first time in our history to support such industries, infrastructure and easy access to resources etc.
Mazingira yote kayatayarisha JK largely, despite kuwa na watu wengi wanaoaribu na ubadhilifu wa hali ya juu. Hawa watoto wa CDM wenye miaka ishirini wanakuja hapa kutukana na elimu zao za chuo wengine ata uwezo wao bado mdogo sana wa kureason na hawajui leo wanaitwa wasomi eti university graduates. Lakini awaelewi ni kutokana na chances walizopata chini ya JK huko nyuma kutokana na uwezo wao mdogo wanaounyesha hapa kihoja na ushindani wa nafasi za vyuo wangekuwa wameanza kushikilia viduka vya wazazi wao sasa na elimu ndio wangeisikia bombani, lakini sasa wamekuwa wasomi wanadai ajira bila ya kuwa na shukruni kwa mtu aliewapa nafasi. Anyway hilo la ajira na viwanda hayo sasa yawe changamoto wa atakae mfuata JK, hila jamaa kaacha kitu ambacho kina impact na inaoneka asietaka ana yake tu, hata sera za uwekezaji sasa si kupangiana na watu wachache mtakao kutana Kempsinki, bali ni national known policies.
Duuu Kumlinganisha Ben na jk ni kama mbingu na ardhi mkapa alikulikuwa kichwa bwana potelea makande huwezi mlinganisha na wauza sura.