Mi siamini.......


hapo kwenye kununa we,sa ukinuna mwenzio anavuta na shuka

na kulala we endelea kununa tu,
 
hapo kwenye kununa we,sa ukinuna mwenzio anavuta na shuka

na kulala
we endelea kununa tu,
Yaani hapo bold ukijaribu analia hadi unaamka unambembeleza kama mtoto wa chini ya miaka 3 anayelia kwa uchungu wa kuonewa. Reference ni mimi mwenyewe yaani nilivuta shuka nikapiga usingizi loooooh!!!! nilistuliwa na miguno ya kilio hadi nikaona uchungu....Unajua wanaume tuna weak point hasa linapokuja swala la mkeo kulia kwa uchungu mbele yako hata kama ulikuwa na misimamo ya Hitler taratibu unarudi kwa line.
 
dada number 8 lina utata maana wanaume wengi wanajali sana ukweni kuliko kwako...mfano watani wangu wa kilima charoo yani utakuta kwenye nyumba kumejaa wadogo wa mkee tu na ndugu,17...hiyo nayo umegenerolaize mwanaume smart ni smart tu ila sio muhimu kubadili chupi kama mwanamke eti uvyae asubui jioni uvue kwani niko kwenye p...12 uchoyo upi unao zungumzia....
 
Siku ukiwa nyumbani au ukirudi mapema na kuhitaji kitu kikakosekana lawama zote hutupiwa dada kuwa kitu flani kimeisha na hajasema as if umemuoa dada!!!!!!

Nguo kupata doa au kukatika kifungo wakati wa kupiga pasi ndo unagundua ukiuliza vip hii mpaka inakaa kabatini wakati haivaliki???!!!!! Anarukiwa dada na shutuma

Tuvumiliane tuu as wote tuna mapungufu kama kitasa na funguo!!!!!!!
 

Km mnapendana kiukweli:
1,3,4 na 5,km mwanamke(mke) una uwezo wa kucontrol kwa upole tu bila hata kugombana.

...16,17 na 18 ,ni wajibu wa mke kumsaidia mme,hata kwa kumkumbusha/kufanya.
the rest bana Mungu tu....
..coz mama(mke) ndo hulinda familia,so bila kumtanguliza/kuomba Mungu nothing u can do zaidi ya kulia na kulalamika
 
15. kutoa mimacho na ku-pay attention kila simu ya mumewe inapoita
16. Kujali ratiba zake zaidi na kutaka awe priority kwenye kila kitu
17. wrong perception kwamba "mwanaume = mwenye hela", kama mumewe hana mkwanja bac kwisha habar yake

Hapo kwenye red tehetehetehetehetehe
 

Umenikumbusha kitu. Nilikuwa na roho ya jiwe nikielezwa mambo flani na wife lkn one day kaniita nakunieleza hayo mambo akalia kwa uchungu Duuuuu mzee niliumia sana nikamuomba samahani na sijarudia tena
 

11. Kupenda kukupigia simu kuomba vivocha hata kama umemuachia mkwanja wa nguvu
 
Habari zenu. Me mgeni humu hivyo nawasalimia. pia nachangia hoja.
Mh humu ndani kunamabo. Pole mkaka.me cna hzo tabia za wanawake na pia najijua mbaya hivyo huwa cpendi kusifiwana siamin nikipewa. Wakwe zangu na ndugu wa mume wote nawajali na kuwahudumia kwa pesa yangu. na mume wangu anatumia sana pesa zangu.Ila bahati mbaya shape kama ya simba. Ila cjui kwa nini niliolewa.
 
Mhh hayo ya kweli? me cjawahi kuonaa ti
 
hawa wenzetu (ke), kazi sana kuwaelewa!..unaweza ukawah kurudi nyumbani then ukaambiwa "mume wangu vp leo?, kuna tatizo?!.mbona umewah kurudi!".. but ukichelewa utaskia "ah, ndo kawaida yake huyo, lazima atakua na kimada nje".. au siku ukishinda nyumbani siku nzima utaskia, "Baba nanii, unaumwa au!..mbona leo hutoki?!"..
too bad shule za kata hawakufundisha jinsi ya ku-deal na hizi situation!..
 
11. Kupenda kukupigia simu kuomba vivocha hata kama umemuachia mkwanja wa nguvu
Kuna mtu nilimsikia akisema...... Yaani mi mke wangu nikimwambia tu twende tukajiachie sehemu fulani, basi utamsikia, nisubiri niingine ndani mara moja... KUMBE HUMO NDANI ANAZIACHA HELA ZOTE ALIZONAZO ILI ASIJE AKALIPA YEYE KWA KUKUONEA HURUMA.....
 
Hivi, tabia sugu za wake zetu unazijuwa...???
 
14. Kusaidia ndugu zake kuliko zako.

1.nikuoe wewe, nikutolee mahali..na ndugu zako tena?
2.kwani ndugu zako mimi wananihusu nini?
3.usingeolewa wangesaidiwa na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…