Mi siamini.......

M.E.M.A

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
1,373
Reaction score
472
Tabia sugu za waume zetu
1. Ukali,
2. Ulevi,
3. Kuchelewa kurudi home,
4. Kupenda marafiki kuliko familia.
5. Umalaya, 6. Kuganda simu zao.
7. Kuficha mambo yao ya maendeleo
8. Kupenda ndugu zao kuliko mke
9. Ubabe
10. Kutokukuridhisha kimapenzi.
11. Kusafiri bila kuaga.
12. Uchoyo,
13. Budget,
14. Kusaidia ndugu zake kuliko zako.
15.kelele kosa kidogo tu kulibebea bendera.
16. Kunuka miguu na kucha.
17. Kutofua chupi zao.
18. Kuvuruga kabati na ndani. ..... Kama mumeo anayo moja wapo kati ya hizi,cheka na usiitaje.... Hahahahahahahaa.
 
Sicheki lolote!!!
Nö 7,8, na 14, hazina mashiko!
 
Tabia sugu za wanawake wetu
1.Umbeya
2.Ukimsifia tu umemgonga
3.Usafiri mwezi tu hujarudi ashaleta sharouharo wake ndani
4.Kupenda ela ka BoT
5.Kugegedwa na wauza mkaa,magenge,wapaka rangi za kucha
6.Kelele ka king'ora akiletewa umbea tu kakushikia bango
7.Kupenda idadi ya watoto mtakaozaa aamue yeye(utafikiri yeye ndo anawasomesha shwain)
8.Kupenda kutumia mishahara yao peke yao (Ya kwetu midomo ka chuchunge kupanga matumizi)
9.Ukipiga goli nyingi ooh unafanya ka chakula(Na ukipiga kimoko au viwili vya mkwezi unatoka nje ya ndoa)
10.Kupenda kusifiwa (hata kama ana shape ka simba i mean big boobs and m.at.akoless)
Naishia hapa zingine mtaongezea mens coz mnajua madem/wake/mahawara wanavyozingua
NB:Hii tabia ya kutuona sisi wanaume ndo wenye makasoro tuuuuuuuuuuuu inaboa ka nini sema hamjui tu tunavyojisikia:disapointed:
 
yani unataka mwanaume asisaidie na kupenda ndugu zake? bila hao ndugu ungempata? wewe umekutana nae barabarani na ndugu zake amezaliwa nae.

Wengi ndoa zinawashinda sababu ya kufikiri jinsi ya kumtenganisha mume na nduguze au mama yake na mkishindwa mnabaki kulia.
 
5.Kugegedwa na wauza mkaa,magenge,wapaka rangi za kucha

Teh teh teh! Umenikumbusha kuna mke wa profesa (na mkuu wa idara kipindi flani) mmoja hivi wa UDSM, kwenye miaka ya 90 alikuwa anamegwa na sungusungu wa chuo enzi hizo.

Yaani alikuwa anamegwa hata vichakani hadi ikawa siyo siri tena. Ilifika wakati hadi watoto wake wakaanza kuwa teased shuleni kuhusiana na hiyo tabia ya mama yao.

Hivyo sistaajabu kabisa hao wauza mkaa, magenge, wapaka rangi za kucha na wauza vipodozi kuwamega sana wake za watu. Pole zenu masela wote mlio kwenye ndoa.
 
Sicheki lolote!!!
Nö 7,8, na 14, hazina mashiko!

no. 16,17 na 18. inaonyesha nijinsi gani usivyo mjari kwa huduma mumeo hizokazi zote anae takiwa kuzifanya ni KE haufai ktk jamii ya ndoa yafaa upigwe tu tumechoka.
 

kutoa 3 hizo nyingine zimewafit.
 
Kuna mmoja nilimsikia akisema kuwa anapenda aolewe na mwaanaume aliyefiwa na ndugu zake wote, yaani baba, mama, kaka, dada n.k. Kwamba hao watu wana kelele sana... Mi nikamuuliza, hivi unadhani kama kaka yako angekuwa na mawazo kama hayo, we ungekuwepo duniani? Au nani angekuwepo duniani?
 
11. Kuchukia marafiki wa mume
12. Kudhani kuwa yeye kuwa mke basi ndo anataka awe mama yangu, baba yangu, rafiki yangu, dada yangu, etc
13. Kudhani kuwa kila unaporudi umekunywa basi una heka
14. Kuficha funguo za gari kila akikasirika yaani hataka unatakakwenda kazini. Wengu hupanda daladala au magari ya marafiki hili likitokea
 
15. kutoa mimacho na ku-pay attention kila simu ya mumewe inapoita
16. Kujali ratiba zake zaidi na kutaka awe priority kwenye kila kitu
17. wrong perception kwamba "mwanaume = mwenye hela", kama mumewe hana mkwanja bac kwisha habar yake
 

Pole sana.
 
Mmmmmh!!!!!
Unaguna nini..?? Kwani wewe ghuna hayo..??? au baadhi ya hayo.... NA WENGINE MNAPENDA SANA RATIBA ZENU NDO ZIFUATWE KULIKO ZA MUME... YAANI MUME AKITOKA TU BASI HUKU NYUMA HAKUKALIKI
 
Napita hapa....sisi waumini wa mfumo afrika haya hayatuhusu sana.
 

Hizo bold zikiongozwa na 8 zina mshiko naongezea...
11. Kununa kama suluhisho la matatizo yao, badala ya kukaa chini na kuongea
12. Kutumia mbinu kuharibu mahusiano ya Man na ndg zake including wazazi huki akimuunga kwenye familia yake.
13. Kuwafundisha watoto kumchukia baba yao kwa kunena mabaya na kufumbia macho mazuri yake.
Yapo mengi kama mapungufu ya pande zote hivyo mleta mada sioni mantiki ya kuonyesha kwamba wanaume hawafai huku kila siku tunashuhudia ndoa. Tukubalieni mnapoishi wawili ambao hamna uhusiano wa kibayolojia na ikizingatia mmekutana ukubwani kila mmoja na malezi yake kinachowaunganisha ni UPENDO hivyo ukiona humpendi au hakupendi using'ang'anie tangu mwanzo kwani utakuwa unasubiri embe kwenye mti wa Mwarobaini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…