trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 746
- Thread starter
-
- #41
unalia nini madogo hayo,
hata baada ya ndoa yenu uwezekano wa kuendelea na mapenzi yao bado ni mkubwa tu.
daah sasa wewe uliona kabisa mtu hakupendi,hajatulia bado ukampapatikia jamani? pole kwa yalotukuta bado yupo na huyo mzee?
daah sasa wewe uliona kabisa mtu hakupendi,hajatulia bado ukampapatikia jamani? pole kwa yalotukuta bado yupo na huyo mzee?
Tulipendana,tena sana,sema alikuwa anadai hawezi kumuonya au kumforce waachane mtu ambaye hajagombana naye..
Hapana Smile ,aliaga dunia,miaka 2 iliyopita.
Kama ni mtihani ningeandika wimbo....."siku uliyoondoka uliniacha na majonzi.........................
Eh pole kwa yaliyokukuta but hukuwa na sababu ya kulia..
Kwani mmefunga ndoa lini???
Tulipendana,tena sana,sema alikuwa anadai hawezi kumuonya au kumforce waachane mtu ambaye hajagombana naye..
Hapana Smile ,aliaga dunia,miaka 2 iliyopita.
Tulipendana,tena sana,sema alikuwa anadai hawezi kumuonya au kumforce waachane mtu ambaye hajagombana naye..
Hapana Smile ,aliaga dunia,miaka 2 iliyopita.
trachomatis pole sana kwa maana hiyo dada alishatangulia mbele za haki?.
aiseee alikufanyeje hivo?Yap.. miaka miwili iliyopita..Guess what,kwa sasa nafurahia maisha kuliko nilipokuwa naye!Kama waliotangulia ahera,wana uwezo wa kuwaombawapenzi wao waliowaacha duniani,wawarudishe ili waishi tena pamoja,mi NINGEMKATALIA abakie hukohuko...
ulifanya kosa ungetafuta mkwewe huyo eng. ili ngoma iwe draw
pole sana mkuu kumbe alishafarikikwa hiyo kakuacha mume na hawara na watoto?poleni sana jamani
Mbona kizunguzungu hapa, nani alifariki trachomatis?
aiseee alikufanyeje hivo?