Mi naona aibu bhaaana!!!

co hivyo mkuu hapa duniana ukitaka kushangaa kila kitu hutashangaa vingi maana mabo ya giza ni mengi na hayaishi,

kila siku mtu anakuja na jambo lake jipya, inabid kuyazoea tu na kusema ya kawaida hayo

sasa maswaga ka demu anatabia ya kukuonea aibu mbele ya watu utaendelea kuizoea hiyo hali uione ya kawaida?

Mwenye aibu hivyo atathubutu mvue nguo kwenye mwanga kweli??aibu nyingine hupunguza hamasa kwa mpenzi

hamna bhana, nikusaliti we kabisa? Haiwezekani! Wewe tu wewe ndo wangu, hiyo ni experience tu.
hata wewe haya bwana goja nikalale maana nasikia pressure imeshuka siji tena huku mwezi

pole sana, ila apo imekula kwako, duuh, pengine ana mtu mwingine so anaogopa izo habari ikimffikia itakuaje.. heheheee

Halafu huyo mtu sijui ni mimi. Nimesoma hadi mwisho ile kumaliza tu nimeona aibu.

Similar Discussions

Back
Top Bottom