Mi mgeni humu so msishangae pale ntakapoenda tofauti

lakini ushamba wa facebook usiulete humu
sisi humu ni watu wazima alafu nakuona we bado mdogo sana naweza hata kukuzaa kwaiyo jaribu kuwa mstaarabu
Haina tatizo uzur mi sipend mambo ya kijinga kama wengine
 
Tafakari kabla ya kuchangia,nina uhakika utakuwa mchangiaji mzuri tu,ila taadhari kuna pumba na mchele humu sio wote mtakaofanana mawazo au mtazambo na wewe,wapo wazee wa mipasho vidole juu,angalia wasikupotezee muda.
 
Pamoja sana mkuu
 
Back
Top Bottom