mi mgeni humu jf

mi mgeni humu jf

alejandro

Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
10
Reaction score
0
Habari wapendwa, nafurahi kuungana na ma great thinkers, bila shaka mtanipokea kwa mikono miwili. Ntahitaji sana msaada wenu jinsi ya kutumia jf vizuri pale ntakapokwama. Nawasilisha!
 
Karibu great thinker mwenzetu kama ulivyojiita.
 
Back
Top Bottom