Mi acha niseme tu. Serikali naomba iingilie kati suala hili

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
1,694
3,982
Kwanza ni kuhusu manyanyaso tunayopata sisi tunaojivutia bhangi. Ni kero katika nchi yetu wenyewe. Polisi wanatunyanyasa sana tumekuwa tunaishi maisha ya wasiwasi, nusunusu,kigugumizi na kudua dua.

Wakikukuta mtu unavuta jani wanakutia jamba jamba na kukutishia ili wapate nafasi wakupore. Ukiwa mbishi wanakupeleka kituoni. Hii si sawa. Hizi bhangi hatupewi bure. Tunalipia so sidhani kama ni sawa mtu aje tu kutupora sababu yeye ni polisi.

Serikali iangalie suala hili la polisi kukosa maadili. Tunaingia hasara sana sisi wauzaji na wavutaji pia. Polisi wakemewe suala hili la unyanyasaji.

Pili sisi wateja wa dada poa. Tunanyanyaswa sana. Hii nchi yetu sote kwa nini kuwe na matabaka? Yaani mtu pesa yako mwenyewe unapangiwa hadi matumizi? Mtu unaenda kujigiji huku unaangaza angaza macho kuangalia maaskari.

Matokeo yake humalizi haraka maana concentration unakosekana plus huangalii sehemu husika ila unaangalia hali ya usalama. Unakuta unapata hasara tu pale ambapo dada poa anaona unachukua muda mrefu na kuna wateja wengine wanasubiri. Anachomoa mpini anaondoka.

Mara kadhaa nmejikuta nimebaki tu na suruali magotini napush hewani kumbe mhusika kashaondoka muda mi sielewi naaangalia hali ya usalama.

Hii inatia hasara sana. Serikali iingilie kati mambo haya. Hata tume iundwe kuchunguza huu unyanyasi wa polisi kwa raia wake. Unyanyasi kama huu ukizidi unaweza sababisha maandamano makubwa nchini watu watachoka kuvumilia.

Naamini viongozi hawayajui haya mi nimeona niseme tu sababu kama polisi wao wanapata hizi huduma kwa starehe kabisa. Wakitupora bhangi zetu wanaenda jivutia bila shida. Na mademu wanakula tena bure. Lakini tunaolipa tunanyanyaswa si sawa hata kidogo.
 
We kijana usivute bangi. Bangi inakusababusha uwe na estrogen. Kama hujui estrogen ni nini,you better find out.
 
Vuta unapoishi na wadada tafuta wa kueleweka, chukua nyumbani
 
Ukiachana bangi ni dhambi , bangi ina haribu sana maisha watu na wengi huishia kwenye cancer

Nafikiri watu mnauza bangi mchukuliwe hatua mnaharibu nguvu kazi ya nchi nyinyi ni mali ya nchi sio mali yenu
 
Tafuta elimu sahihi kuhusu bangi. Ayo mambo unayoaminishwa kuhusu bangi hayana ukweli.
Uhalisia ni kuwa bangi ni kitu pouwa Sana kikitumika Kwa usahihi.
Kumbuka kila jambo lazima litumike au lifanyike Kwa usahihi wake, ikizid au kupungua hapo ndipo taabu uanza.
Vuta bangi ujionee uzoefu mpya
 
Kwanza ni kuhusu manyanyaso tunayopata sisi tunaojivutia bhangi. Ni kero katika nchi yetu wenyewe. Polisi wanatunyanyasa sana tumekuwa tunaishi maisha ya wasiwasi, nusunusu,kigugumizi na kudua dua.

Wakikukuta mtu unavuta jani wanakutia jamba jamba na kukutishia ili wapate nafasi wakupore. Ukiwa mbishi wanakupeleka kituoni. Hii si sawa. Hizi bhangi hatupewi bure. Tunalipia so sidhani kama ni sawa mtu aje tu kutupora sababu yeye ni polisi.

Serikali iangalie suala hili la polisi kukosa maadili. Tunaingia hasara sana sisi wauzaji na wavutaji pia. Polisi wakemewe suala hili la unyanyasaji.

Pili sisi wateja wa dada poa. Tunanyanyaswa sana. Hii nchi yetu sote kwa nini kuwe na matabaka? Yaani mtu pesa yako mwenyewe unapangiwa hadi matumizi? Mtu unaenda kujigiji huku unaangaza angaza macho kuangalia maaskari.

Matokeo yake humalizi haraka maana concentration unakosekana plus huangalii sehemu husika ila unaangalia hali ya usalama. Unakuta unapata hasara tu pale ambapo dada poa anaona unachukua muda mrefu na kuna wateja wengine wanasubiri. Anachomoa mpini anaondoka.

Mara kadhaa nmejikuta nimebaki tu na suruali magotini napush hewani kumbe mhusika kashaondoka muda mi sielewi naaangalia hali ya usalama.

Hii inatia hasara sana. Serikali iingilie kati mambo haya. Hata tume iundwe kuchunguza huu unyanyasi wa polisi kwa raia wake. Unyanyasi kama huu ukizidi unaweza sababisha maandamano makubwa nchini watu watachoka kuvumilia.

Naamini viongozi hawayajui haya mi nimeona niseme tu sababu kama polisi wao wanapata hizi huduma kwa starehe kabisa. Wakitupora bhangi zetu wanaenda jivutia bila shida. Na mademu wanakula tena bure. Lakini tunaolipa tunanyanyaswa si sawa hata kidogo.
Pole mkuu ila wanasemaga mnyonge hana haki. Utashangaa wabunge wanaruhusiwa kuvuta bangi na hawakamatwi, wabunge hao hao kila mmoja wetu humu JF anajuwa kuwa ni mafuska namba moja hapa nchini na ni mabingwa wa kuhonga madadapoa lakini hawakamatwi, kwanini jamani?
 
Usiyejulikana nakushauri weka jina halisi ili serikali inapofanyia kazi swala lako iwe rahisi kutoa refference mtu huyu alitowa wazo au lalamiko
 
Back
Top Bottom