[h=2]Anatakiwa mhudumu kwa ajili ya kumhudumia bibi mzee-hajiwezi,kazi kubwa ni kumpikia na kumuosha.Anayetakiwa ni mhudumu wa kike,umri kati ya 18-35,kabila yoyote,kazi iko DAR.,kula na kulala zitalipiwa na familia.Wapi anaweza kupatikana?Akiwa nurse anaweza kulipwa zaidi kidogo.Naomba nijue wapi naweza kumpata au kama yuko hapa atume maombi kwa dibkanm@yahoo.com[/h]