Mhitaji wa chumba/nyumba/maeneo ya kuanzia Mbuyuni hadi Tegeta

Mhitaji wa chumba/nyumba/maeneo ya kuanzia Mbuyuni hadi Tegeta

October 29

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2024
Posts
3,143
Reaction score
4,445
Habari wakuu,

Anaeitaji nyumba/kiwanja/ chumba maeneo hayo kwajili ya kupanga, MAENEO KUANZIA Afrikana,mbuyuni,Tegeta, Skanska, mji mpya kule chini zamani machimbo ya mawe,kwasasa kumejengeka sana,Chumba kimoja master chenye jiko kuanzia Elfu themanini, laki moja hadi laki na hamsini.

Chumba sebule chenye choo ndani, ,kuanzia laki mbili, nyumba nzima pia zinapatikana.

Na Mwenye kuitaji vyumba, nyumba maeneo ya mapinga pia.

Cont:+255672324777
 
Tegeta msichoke huko sipati vyumba nataka kumpangia mdogo wangu anasoma chuo mkuu
Chumba cha sh.ngapi mkuu,chumba cha kawaida kabisa ni elfu hamsini,sitini,vyoo vinakuwa vya nje,

Chumba cha choo ndani bei kuanzia laki moja,laki na hamsini,

Maeneo hata kule mji mpya kwa chini kuanzia j.k.t,skanska na huko tegeta pia...
 
Back
Top Bottom