Peter jaluo
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 1,750
- 253
Kuna mhindi ameuwawa Karikoo na majambazi jamaa wameondoka na hela

shule ya uhuru karibu na jomokenyata traderMaeneo gani mkuu

Wakimaliza hapo wawageukie Wachina mwaka wanamaliza Tembo wetu
Kwanini usingeandika mtu mmoja kapigwa risasi na majambazi??? Kwanini uandike mhindi??
Huo ni ubaguzi...
RIP mtuKwanini usingeandika mtu mmoja kapigwa risasi na majambazi??? Kwanini uandike mhindi??
Huo ni ubaguzi...
Kwanini usingeandika mtu mmoja kapigwa risasi na majambazi??? Kwanini uandike mhindi??
Huo ni ubaguzi...
Huu ni ubaguzi mkubwa sana hasa katika rangi na lengo kuu nadhani ni kuwagawa watu wenye asili ya kihindi na waafrika hiyo siyo sawa mkuu.Kuna mhindi ameuwawa Karikoo na majambazi jamaa wameondoka na hela