Sema duka na jina anaweza kuwa mdogo wangu!Kuna mhindi ameuwawa Karikoo na majambazi jamaa wameondoka na hela
Au angeandika raia mwenya asili ya kihindiKwanini usingeandika mtu mmoja kapigwa risasi na majambazi??? Kwanini uandike mhindi??
Huo ni ubaguzi...
Au angeandika raia mwenya asili ya kihindi
Wao wenyewe wanaua ndugu zetu acha wafe tu
Huu ni ubaguzi mkubwa sana hasa katika rangi na lengo kuu nadhani ni kuwagawa watu wenye asili ya kihindi na waafrika hiyo siyo sawa mkuu.
Hii ni busara ya wapi?
Kuna mhindi ameuwawa Karikoo na majambazi jamaa wameondoka na hela
Kwanini usingeandika mtu mmoja kapigwa risasi na majambazi??? Kwanini uandike mhindi??
Huo ni ubaguzi...
Hii ni busara ya wapi?
Hii ni busara ya wapi?