Mhindi akijibu methali

methali : haba na haba ?
mhindi : iko haba bili
methali : bandubandu ?
mhindi ; badubadu jomba yake sadru
methali : hakuna marefu?
mhindi ; kama hakuna marefu, mafupi tasaidia/taunganisha mafupi bili tafaa
methali: simba mwendapole?
mhindi : kama simba noenda bolebole jua majanja ile subiria yanga nokuja alafu maliza yeye.
methali : baniani m-baya?
mhindi : hapana nunua dengu dukani yake.
 
Yaani wakati naisoma hii joke ikifika sehemu ya 'mhindi' najikuta natamka kwa tone ya kihindi.
Ahahahaha.
 
Methali: Simba mwenda Pole...
Mhindi: iko gonjwa hiyo au Hanith*i

Metahli: Asiyefunzwa na Mamaye
Mhindi: tafunzwa na Sugar Dady...hata Lulu najua...

Methali: Chururu....
Mhindi: ata toto dogo najua iyo inaita dudu...

usipo ziba ufa;iko mwizi chungulia dani
mtaka cha uvunguni;pindua tanda chukua
 
Methali- mfa maji
Mhindi- tampa life jacket
Methali- mwenda pole
Mhindi- tachelewa fika
Methali- uclolijua
Mhindi- uliza google.com
Methali- mbio za utelezini
Mhindi- chafua guo yako
Methali- ukipenda boga
Mhindi- goja miezi ya ramadhani tapata
Methali- ukiona vinaelea
Mhindi- iko nyepesi hyo
Methali- maji yakimwagika
Mhindi- mwambie dada tadeki
Methali- chelewa chelewa
Mhindi- takosa guo ya sikukuu
Methali- kila ndege
Mhindi- hu2a airport
Methali- bandubandu
Mhindi- bandubandu nini, bandua hyo bana


GUD DAY

tuma salam
 
Lamsingi ni kucheka siyo kupeana source za kichekesho, kama unataka source hii siyo forum yake.....kesho tena wee tupia chochote chenye kutufanya tu smile..big up
 
methali : haba na haba ?
mhindi : iko haba bili
methali : bandubandu ?
mhindi ; badubadu jomba yake sadru
methali : hakuna marefu?
mhindi ; kama hakuna marefu, mafupi tasaidia/taunganisha mafupi bili tafaa
methali: simba mwendapole?
mhindi : kama simba noenda bolebole jua majanja ile subiria yanga nokuja alafu maliza yeye.
methali : baniani m-baya?
mhindi : hapana nunua dengu dukani yake.

Methali: Penye nia...
Mhindi: Punye nia Panya njia....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom